Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

Sugu apambane, huyu mama inaonesha atazingua.. Niko mbeya naona hilo! Kamanda akaze buti, ukiwa nje ya Mbeya utaona mtelezo kwa Joseph ila hali sio nzuri kwake inaonesha kuna kujisahau kipindi hiki alichomaliza, watu kama wanataka jambo jipya
Shida ya hawa jamaa hawapend kushauriwa na sijui kwann hawaoni nakustuka mambo yanabadilika sana jamaa inabid apambane hata lema arusha mjin anaweza poteza jimbo na asiamini...
 
Hapo ndio mnapofeli,sasa sura sijui umbile lake linahusiana vipi na nafasi anayogombea!? kwamba sugu handsome? acheni ubaguzi wa kimaumbile kwani aliyekuumba wewe ndiye aliyemuumba yeye
tofauti wazazi tu.wabagueni kwenye hoja
 
CCM ilifanya makosa ya makubwa kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia Mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu.

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao.

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwakandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.
 
Hii ngoma ngumu sana, naweza kusema hii ni mieleka kati ya nguvu ya dola vs nguvu ya umma !
 
Swali la kijinga kutoka kwa mjinga...it is out of context. Na kama Dk. Tulia ameuliza swali hilo ni kwa vile anajua anazungumza na wajinga, hii ni kwa mujibu wa utafiti wa kisomi, uliobaini kuwa CCM kinapendwa na mbumbumbu wengi!
Sitakujibu.
 
Barabara zako ww nani ewe nguchiro???
Kweli kabisa .umewajibu vyema.Kama hawataki ndege wasipande ndege zetu wabande nyongo wanapoenda Kwenye kampeni.na wasitembee na magari kupitia Barabara zetu wapite maporini.

Eeeweeeee mtanzania usidanganyike .Hizo ni mbinu walizokuja nazo baada ya kuishiwa hoja.wanajua mtanzania ni mwepesi wakudanganika maana tunapenda maneno na dezo.zinduka
 
CCM kweli nimeamini ni Matapeli ... Matapeli kwa herufir kubwa. Yaani Tulia katika watu wote hao anaowahutubia ni watu wangapi wamepanda au wanategemea kupanda ndege!!?
 
Back
Top Bottom