Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]Hivi Kuna mtu ameoa huu mfupa?aise baya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]Hivi Kuna mtu ameoa huu mfupa?aise baya kweli
MATAGA [emoji23] na pandikizi laoMama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
View attachment 1571960
Umesema kweli Ndugu yangu. Huu mjadala hauna tija kabisa kwa nchi yetu maana ni wazi kabisa kuwa maendeleo ya watu hayawezi kuja bila kuendeleza vitu, yaani miundombinu ya kurahisisha shughuli zao; k.m. umeme, maji, usafiri, na rasilimali za huduma za kijamii yaani afya, elimu,n.k. Kwa hili Upinzani kubalini ili mjadala uwe namna gani tunaweza kuongeza maendeleo ya vitu kwa haraka maana tumechelewa sana. La sivyo mtaendelea kushika mabua kwenye bahari na bila shaka mtazama tuu maana Watanzania wanaelewa fika umuhimu wa vitu katika kuendeleza maisha ya watu.Mkuu kwenye maendeleo zinatumika zaidi dhana mbili; Rostow's Stages of Development na Marxist Stages of Development kutegemea una mrengo gani kisiasa. Wote wanakubaliana kwamba Maendeleo ya Watu ndio hatua ya juu kabisa (High Mass Consumption kwa Rostow) na (Communism kwa Marxism) ya maendeleo ya mwanadamu.
Kama ninyi na Lissu wenu mnaweza kutuaminisha tofauti kwamba unaweza kusafiri kwa haraka kati ya Mwanza na Dar (maendeleo ya watu) bila ndege au SGR au watu kuwa na umeme wa uhakika (maendeleo ya watu) bila kuzalisha umeme wa kutosha na wa uhakika inawezekana, mimi nitaunga mkono hoja.
Sugu kafanya nini kipindi chote cha ubunge wake?. Utashangaa wana mbeya wakimchagua tulia kwa kishindo.Watu wa Mbeya sio wajinga kiasi hicho washindwe kutofautisha kati ya mtu na kiatu.
Kwamba watu wa Mbeya wachague Tulia wamuache Sugu?
Uhuru wa habari upo likizo.. wanaogopa kufungiwaNapendaga Ninasoma kwenye online media za Radio one, Nipashe na ITV. Kwenye mikutano ya CCM wanaandika Maelfu ya wananchi. Ila mikutano ya CHADEMA na ACT Zanzibar wanaandika mamia ya wananchi. Sijui wanaogopa nini jamani hawa watu
Tatizo ni kwamba vitu hivyo kwa sasa vinanufaisha elite group tu, walalahoi wanabaki hoi! Pia kulikuwa na haja ya kuendelea kuboresha maisha ya watumishi wa uma, kuajiri nk, wakati ukifanya hayo mengine. Alafu kwenye umeme Kwanini tumeachana na mradi wa gesi ambao Kikwete aliufikisha pazuri, na gharama kubwa zilishatumika?!Mkuu kwenye maendeleo zinatumika zaidi dhana mbili; Rostow's Stages of Development na Marxist Stages of Development kutegemea una mrengo gani kisiasa. Wote wanakubaliana kwamba Maendeleo ya Watu ndio hatua ya juu kabisa (High Mass Consumption kwa Rostow) na (Communism kwa Marxism) ya maendeleo ya mwanadamu.
Kama ninyi na Lissu wenu mnaweza kutuaminisha tofauti kwamba unaweza kusafiri kwa haraka kati ya Mwanza na Dar (maendeleo ya watu) bila ndege au SGR au watu kuwa na umeme wa uhakika (maendeleo ya watu) bila kuzalisha umeme wa kutosha na wa uhakika inawezekana, mimi nitaunga mkono hoja.
HAKUNABetina mambo magumu! hivi kuna mpigakura mwenye akili atawapigia hawa wahuni wa ccm?
ndiyo mtaelewa sasa mwaka huu tulia ndiyo mbunge wetuAsubili viti maalumu.
Mbeya hawana ushamba
Mbeya wanajitambua toka 1995 wakati Tulia alikuwa bado ananyonya.
Kweli kabisa .umewajibu vyema.Kama hawataki ndege wasipande ndege zetu wabande nyongo wanapoenda Kwenye kampeni.na wasitembee na magari kupitia Barabara zetu wapite maporini.
Eeeweeeee mtanzania usidanganyike .Hizo ni mbinu walizokuja nazo baada ya kuishiwa hoja.wanajua mtanzania ni mwepesi wakudanganika maana tunapenda maneno na dezo.zinduka
Watu sisi tunafikia hapo hiyo siyo hoteli ya panya au simblis..Ungejibu hoja. Sugu kajenga hoteli. Hayo ni maendeleo ya watu au vitu?
Kwa sasa Ccm haitakiwi kwa sababu ya mawazo yao ya kijinga kama hayaMkuu kwenye maendeleo zinatumika zaidi dhana mbili; Rostow's Stages of Development na Marxist Stages of Development kutegemea una mrengo gani kisiasa. Wote wanakubaliana kwamba Maendeleo ya Watu ndio hatua ya juu kabisa (High Mass Consumption kwa Rostow) na (Communism kwa Marxism) ya maendeleo ya mwanadamu.
Kama ninyi na Lissu wenu mnaweza kutuaminisha tofauti kwamba unaweza kusafiri kwa haraka kati ya Mwanza na Dar (maendeleo ya watu) bila ndege au SGR au watu kuwa na umeme wa uhakika (maendeleo ya watu) bila kuzalisha umeme wa kutosha na wa uhakika inawezekana, mimi nitaunga mkono hoja.
tulia mbeya awezi na atawezaSugu apumulia mashine
Hili la malori nimelishuhudia kwa macho yangu Lupiro wilayani Mahenge.Naona malori yaliyoleta watu hayako mbali hapo, lakini kwanini watoto wetu wasisome muda huu? kuna somo la uraia ndani ya maaarifa ya jamii kule shuleni watasoma maswala ya siasa huko
Mama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
View attachment 1571960