Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Itoshe kusema mleta mada ni moja ya misukule ilio tupiwa humu JF
basi ndugu yangu mshirikina toa basi mapendekezo mbadala πŸ’

au ni miongoni mwa mliofikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, mmebaki na concussion tu?🀣
 
Kama hizo ni hazina za taifa,tekateka,pigapiga risasi na poteza poteza watu za nini!!?
mwarobaini wa changamoto nyingi humu nchini, ukiachilia mbali zile ambazo kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan anafanya,

hao vijanaa ni muafaka zaidi kutibu changamoto, kasoro na dosari hizo πŸ’
 
Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa
 
Kwa hiyo wewe ni takataka ? Hata kama unalipwa acha kusifiasifia wanasiasa ambao wanafanya kazi walizoomba wenyewe wapigiwe kura au kuteuliwa bila wananchi kuwahitaji na pia wanalipwa mshahara.
Acha kujidharaulisha na kusifiasifia wengine
kwahiyo wewe umepanic, right?

hiyo mihemko, hasira na chuki binafsi dhidi ya maoni na mitazamo ya wengine hali ya kua wewe huna mawazo mbadala, kama inakusaidi, basi ongeza juhudi gentleman, soon utatoboa πŸ’
 
Unamaanishaa nini,akili mbumbumbu umeniacha aliyeelewa anisaidie.
Pole mwalimu,
sasa sijui darasani unafundishaje πŸ’

ila sio kesi,
nakufahamu vizuri sana tangu shule bila kuchezea makonzi na viboko vya walimu ulikua huelewagi πŸ’
 
Tulia sina pingamizi

Makonda pia ila huyu ana sifa ndani yake ila ana upekee wake.

Hao wengine waleftshe
 
Toa makonda katika list yako. Yule hamna kitu zaidi ya kick na mbwembwe tu. Hakuna anachoanzisha akakimaliza huwa kinaishia njiani
ukitoa make sure unareplace mwingime gentleman πŸ’

kumbuka,
hiyo ni hazina ya kuanzia 2030,
anaweza kujipanga na kijiformati akawa kitu humu nchini πŸ’
 
WOTE!
 
Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa
Relax gentleman,
tuliza kwanza mihemko, ghadhab hasira na matusi, hiyo ni nonsense kwenye majadiliano muhimu ya kitaifa kama haya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…