Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Itoshe kusema mleta mada ni moja ya misukule ilio tupiwa humu JF
basi ndugu yangu mshirikina toa basi mapendekezo mbadala 🐒

au ni miongoni mwa mliofikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, mmebaki na concussion tu?🤣
 
Kama hizo ni hazina za taifa,tekateka,pigapiga risasi na poteza poteza watu za nini!!?
mwarobaini wa changamoto nyingi humu nchini, ukiachilia mbali zile ambazo kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan anafanya,

hao vijanaa ni muafaka zaidi kutibu changamoto, kasoro na dosari hizo 🐒
 
haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa
 
Kwa hiyo wewe ni takataka ? Hata kama unalipwa acha kusifiasifia wanasiasa ambao wanafanya kazi walizoomba wenyewe wapigiwe kura au kuteuliwa bila wananchi kuwahitaji na pia wanalipwa mshahara.
Acha kujidharaulisha na kusifiasifia wengine
kwahiyo wewe umepanic, right?

hiyo mihemko, hasira na chuki binafsi dhidi ya maoni na mitazamo ya wengine hali ya kua wewe huna mawazo mbadala, kama inakusaidi, basi ongeza juhudi gentleman, soon utatoboa 🐒
 
Unamaanishaa nini,akili mbumbumbu umeniacha aliyeelewa anisaidie.
Pole mwalimu,
sasa sijui darasani unafundishaje 🐒

ila sio kesi,
nakufahamu vizuri sana tangu shule bila kuchezea makonzi na viboko vya walimu ulikua huelewagi 🐒
 
Tulia sina pingamizi

Makonda pia ila huyu ana sifa ndani yake ila ana upekee wake.

Hao wengine waleftshe
 
Toa makonda katika list yako. Yule hamna kitu zaidi ya kick na mbwembwe tu. Hakuna anachoanzisha akakimaliza huwa kinaishia njiani
ukitoa make sure unareplace mwingime gentleman 🐒

kumbuka,
hiyo ni hazina ya kuanzia 2030,
anaweza kujipanga na kijiformati akawa kitu humu nchini 🐒
 
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..

Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...

Nje ya watajwa hao, ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
WOTE!
IMG_20240719_183214.jpg
 
Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa
Relax gentleman,
tuliza kwanza mihemko, ghadhab hasira na matusi, hiyo ni nonsense kwenye majadiliano muhimu ya kitaifa kama haya 🐒
 
Back
Top Bottom