Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwarobaini wa changamoto nyingi humu nchini, ukiachilia mbali zile ambazo kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan anafanya,Kama hizo ni hazina za taifa,tekateka,pigapiga risasi na poteza poteza watu za nini!!?
Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifahaiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika katika uongozi wa nchi. hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
nje ya watajwa hao,
ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwahiyo wewe umepanic, right?Kwa hiyo wewe ni takataka ? Hata kama unalipwa acha kusifiasifia wanasiasa ambao wanafanya kazi walizoomba wenyewe wapigiwe kura au kuteuliwa bila wananchi kuwahitaji na pia wanalipwa mshahara.
Acha kujidharaulisha na kusifiasifia wengine
😹😹😹 dah!!Kama mmekubaliana na mumeo kuja kuandika huu ujinga basi familia yenu ina tatizo mkaombewe kwa Mwamposa
ukitoa make sure unareplace mwingime gentleman 🐒Toa makonda katika list yako. Yule hamna kitu zaidi ya kick na mbwembwe tu. Hakuna anachoanzisha akakimaliza huwa kinaishia njiani
Hana vyeti kama peter msigwa.ukitoa make sure unareplace mwingime gentleman 🐒
kumbuka,
hiyo ni hazina ya kuanzia 2030,
anaweza kujipanga na kijiformati akawa kitu humu nchini 🐒
WOTE!Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu, baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania kukamilisha ngwe yake ya pili uongozini 2025-2030...
Nje ya watajwa hao, ni kupoteza muda, nguvu na rasilimali tu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Relax gentleman,Kumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa