Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Tulia sina pingamizi

Makonda pia ila huyu ana sifa ndani yake ila ana upekee wake.

Hao wengine waleftshe
Asanti sana kwa mapendekezo yako mujarabu sana gentleman 👊 💪
 
Machawa na walamba miguu mnafanya nchi ishindwe kupiga hatua
nyinyi wanainchi wangu ambao nina wapenda sana dah...

ninawaandalia mustakabali wenu na Mama Tanzania, lakini mnakimbilia kuhitimisha hoja bila hata kutoa fikra mpya na maoni mbadala 🐒

inasikitisha sana,
hata hivyo tunakwenda vivyo hivyo na tutafika pamoja 🐒
 
Leta mjadala na hoja za msingi na siyo kusifia majangili ya nchi
 
Hili guta nalo unaweza shangaa linateuliwa DC/RC, nchi ya hovyo haswa
mimi ni kiongozi wa umma na wananchi waTanzania..

ni mnyonge sana, nisiestahili chochote mbele ya yeyote humu JF na nchini. Nimetoka mbali sana mpaka hapa nilipo,

na wala siringi,
ni kwa sababu ya Neema na Baraka za Mungu tu,
nipo hivi nilivyo, hapa nilipo....

au kuna Tatizo lolote ndrugo zangu? 🐒
 
Acha kutuletea hoja za hayo majangili ya mali za umma
 
Back
Top Bottom