Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iingienaskia ukitukana mara nyingi zaid unaongezewa bando la buku kwa siku 🐒
mna kaz ngumu mno buguruni
Kwamba UWT wote mna PhDsyaani bado kuna mijadala ya masters mpka leo kwa members wa jF wakongwe kama nyie, dah 🤣
kumbe tunasafari ndefu sana kama Taifa dah na mizigo ni mizito 🐒
Pamoja😹😹😹 dah!!
nyinyi wanainchi wangu ambao nina wapenda sana dah...Machawa na walamba miguu mnafanya nchi ishindwe kupiga hatua
Leta mjadala na hoja za msingi na siyo kusifia majangili ya nchinyinyi wanainchi wangu ambao nina wapenda sana dah...
ninawaandalia mustakabali wenu na Mama Tanzania, lakini mnakimbilia kuhitimisha hoja bila hata kutoa fikra mpya na maoni mbadala 🐒
inasikitisha sana,
hata hivyo tunakwenda vivyo hivyo na tutafika pamoja 🐒
Weka vyeti hapa kama anavyo. Unajua jina bashite limetoka wapi?acha uposhaji 🐒
Hili guta nalo unaweza shangaa linateuliwa DC/RC, nchi ya hovyo haswaKumbe wewe siyo hazina ya nchi? Wewe ni useless,rubbish,shithole,hopeless,stupid, illiterate and ignorant wa taifa
Haya majangili yanawaza kuiba pekeeBadala ya kuleta mada ya katiba mpya iki tujenge mifumo imara ya kuhakikisha uwepo wa Taifa imara kwa miaka 300 ijayo mnakuja kulamba miguu ya Wanasiasa humu.
Jinga kabisa mleta mada
Labda shamba la konyangiYes,
vijanaa wanashusha mzigo wa mavuno ya leo shamba uzame store 🐒
mimi ni kiongozi wa umma na wananchi waTanzania..Hili guta nalo unaweza shangaa linateuliwa DC/RC, nchi ya hovyo haswa
Acha kutuletea hoja za hayo majangili ya mali za ummamimi ni kiongozi wa umma na wananchi waTanzania..
ni mnyonge sana, nisiestahili chochote mbele ya yeyote humu JF na nchini. Nimetoka mbali sana mpaka hapa nilipo,
na wala siringi,
ni kwa sababu ya Neema na Baraka za Mungu tu,
nipo hivi nilivyo, hapa nilipo....
au kuna Tatizo lolote ndrugo zangu? 🐒
UWT wengi mnakunywa konyangi haswamnalima wapi hiyo gentleman,
ili nami nipate kaplot kidogo?
maana soko la uhakika la konyagi ni ufipa 🐒
Ana akili na dunia ya mabunge inaongozwa na yeye. Nabii hakubaliki kwao.Tulia ni takataka.