johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Analinda Katiba ya JMTNdiyo maana ya spika kuilinda serikali
Kanuni zinamruhusu Spika kupangia ratiba taarifa ya CAG baada ya kuwa imeshakabidhiwa Bungeni?Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023
Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria
Source: Swahili Times
Huo ndio UtaratibuKanuni zinamruhusu Spika kupangia ratiba taarifa ya CAG baada ya kuwa imeshakabidhiwa Bungeni?
Huu uzwazwa una malengo gani hasa?
Mwakilishi wa walalahoi bungeni [emoji849][emoji849][emoji849]
Hivi huyo Spika anajielewa kweli??Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.
Source:
Huyu yuko compromised sana sema nilauku Watanganyika kwa kuwa Mazezta, inapaswa siku moja hilo Bunge lipigwe kiberiti ndio ufahamu utawalejeaSpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.
Source: