Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake..
Mpumbavu zaidi ni yule anayeshindwa kujibu hoja za wapumbavu. Kama angelikuwa mjinga walau angelijitahidi kujibu swali moja katika hoja nyingi zilizotelewa na wanasheria wenzake.
 
Kushindwa kujibu hoja ndio kuzeeka na upumbavu.

Hoja zijibiwe na sivinginevyo, ukionamtu anapenda kusema " eti jamani, jamani simmeonaee" ujue huyo anatafuta huruma tu.
 
Hatujakataaa ila hao wapumbavu ndio wote wanaohitaji ufafanuzi kwenye suala la msingi au kuna werevu?

Hii ngoma ya taifa inahitaji majibu kwa ajili ya taifa nasio mtu binafsi.

Kwani yana muda basi haya mambo patapambazuka tu
 
Nadhani kuna shida hakuna mtu.anapinga Dp World. kuwekeza .Kinachopingwa ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye mkataba

Watu waache kuongea sababu wazeeeka? Kwani wazee hawana haki ya kuongea kuwa mtu akizeeka afunge mdomo?
Hivyo vipengele vimeshafafanuliwa zaidi ya mara elfu moja, ni watu tu wameamua kupinga jambo fulani.

Hawana sababu ya msingi ya kukataa ni kwamba wameamua kutolikubali, full stop.
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake...
Eheee sasa mambo mbona yanataka kuwa hovyo. Hata kiongozi wa mhimili akoa uvumilivu. Sikilizeni hoja kama hazifaai jibuni tu ili tufike salama. Ushauri tu msiniparure
 
Tuambie mkataba ni wa miaka mingapi? tenda ilitangazwa lini? tutalipwa kiasi gani kwenye mkabata?
Urefu wa mikataba hutegemea sababu mbalimbali zinazoibuka katika utekelezaji wake. Tatizo letu watanzania ni uelewa mdogo wa haya mambo, elimu elimu elimu alisema Mzee Lowassa pale Jangwani.

Sio kila biashara hutangazwa tenda, inategemea wakati mwingine na ukubwa wa biashara yenyewe. Kumbuka DPW anamiliki mali nyingi huko Rwanda na Congo sasa jiulize alifika vipi na kuwa na mali hizo.

Kulipwa kiasi gani kwenye mikataba hutegemea na majadiliano ya pande mbili zinazojadiliana kwa kina.

Nimetumia neno mikataba na sio mkataba, kwani kuna tofauti ya mkataba/Azimio liliopitishwa bungeni na hiyo mikataba inayokwenda kuongoza biashara pale TPA.
 
Urefu wa mikataba hutegemea sababu mbalimbali zinazoibuka katika utekelezaji wake. Tatizo letu watanzania ni uelewa mdogo wa haya mambo, elimu elimu elimu alisema Mzee Lowassa pale Jangwani...
Bunge walisema wanapitisha azimio au mkataba? usitufanye wajinga kama wewe, mikataba yote huwa ina muda kamili pamoja na gharama zake lazima ziwe wazi.
 
Back
Top Bottom