KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Ana usomi wa kucheza ngomaKwanza naunga mkono hoja ya Dr Vicensia Shule who has a B.A in fine and Performing Arts and Masters of Arts in Performing arts and also a lecturer who teaches theatre,film,media criticism and communication development.
Kwa wasifu huo ni mbobezi wa mambo ya filamu japokuwa ni social activists haswa kwa maoni yake dhidi ya utawala wa ccm kule twitter mpaka kupewa jina la Shangazi akijumuishwa na Maria, Fatuma na Aikande.
Ile filamu Nadhani ni proposal ya watu fulani wa ndani wakimjumuisha na Peter hivyo haikuwezekana pesa watoe watu fulani halafu filamu itengenezwe na wazawa wenye kiwango cha juu.
Unaweza ukamuelwa twirra lakini usimuelewe pande hizo😄Hivi huyu dada kaolewa,namuelewaga sana
Ova
We mama upo hukuWa bongo muvi ya nyioko.
Hivi Kijana 9Bilion unadhani wangeleta maji huku kusini kote Tena kila Kijiji....na chenji ingebaki... Hiyo hela dahWorld film standard mnazijua au hicho kibidada kinaropoka tu?,Hollywood haionyeshi kitu ambacho kipo chini ya standard, point 1
ADS, NA LAUNCHING SIGHT YA JAMBO LENYEWE,NA STUTUS ZA WAALIKWA.
•Hako kadada bila shaka ni pingapinga chadomo!
•Hata ukumbi ulikodiwa haukuwa bure!
... huyu Dr. Shule ana kauli tata sana. Chupuchupu aingie kwenye 18 za Jiwe enzi zile.
Wangeza wangekua mbili sana
Huyu Dr. Ni mchawi mwenye fikra za kimasikini mbona kabla ya RT hakuwa na wazo lolote la kusaidia kupromote utalii.
Aulizwe kama anajua maana ya kuwa na connection na wakubwa wa dunia hii katika tasnia mbalimbali. Suala siyo ubora tu, suala ni nani anaweza kukuungisha jambo lako likafanikiwa
Sasa watu wanadanganya watu wazima kuvua samaki kwa mtindo ule unafikiri kuna filamu pale. Nacho kiona sasa iyo ililetwa kama proposal na huyo mzungu ikiwa na bajeti, serikali wakapitisha mzungu akajikamatia fedha yake.
Inashindwa ata na kile kipindi cha tvt, au tbc miaka iyo kinazungumzia ruaha, serengeti, viboko wanavyokulq nyumbu. Utasikia “mto ruaha ukauka”
Huyo Dr. Kanjanja.
Acha uongo bilion 9 hazitoshi usemayo hata kidogo,suala unaloongelea lingehitaji bl. 200 na kuendelea!Hivi Kijana 9Bilion unadhani wangeleta maji huku kusini kote Tena kila Kijiji....na chenji ingebaki... Hiyo hela dah