Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Kwanza naunga mkono hoja ya Dr Vicensia Shule who has a B.A in fine and Performing Arts and Masters of Arts in Performing arts and also a lecturer who teaches theatre,film,media criticism and communication development.

Kwa wasifu huo ni mbobezi wa mambo ya filamu japokuwa ni social activists haswa kwa maoni yake dhidi ya utawala wa ccm kule twitter mpaka kupewa jina la Shangazi akijumuishwa na Maria, Fatuma na Aikande.

Ile filamu Nadhani ni proposal ya watu fulani wa ndani wakimjumuisha na Peter hivyo haikuwezekana pesa watoe watu fulani halafu filamu itengenezwe na wazawa wenye kiwango cha juu.
 
Ana usomi wa kucheza ngoma
 
Huyu maza hamnazo tu, si alisema anapambana na unyanyasaji wakingono udsm alifikia wapi?
 
Kwahiyo alitaka ssh asomasoti ka spiderman? Halafu nani kawaambia hii ni movie? Hii ni documentary, nyie! Hakuna asiyeijua Coca-Cola bado inatangazwa nasie serengeti tutaitangaza tu
 
World film standard mnazijua au hicho kibidada kinaropoka tu?,Hollywood haionyeshi kitu ambacho kipo chini ya standard, point 1
ADS, NA LAUNCHING SIGHT YA JAMBO LENYEWE,NA STUTUS ZA WAALIKWA.
•Hako kadada bila shaka ni pingapinga chadomo!
•Hata ukumbi ulikodiwa haukuwa bure!
 
Hivi Kijana 9Bilion unadhani wangeleta maji huku kusini kote Tena kila Kijiji....na chenji ingebaki... Hiyo hela dah
 
Huyu Dr. Ukimuangalia vizuri mbona Kama akili zake zpo waru waru sana. Kuna mahala hayupo vzuri. Huyu kwa jinzi alivyo hawezi kutulia na akakifanyia tathmini kitu amekaa kimapepe mapep.
 
... huyu Dr. Shule ana kauli tata sana. Chupuchupu aingie kwenye 18 za Jiwe enzi zile.

Huyu Mwalimu wangu hajawai kuwa na shida na jiwe na wala hajawai kuingia kwenye 18 zake bhana tusizue zue...Mwalimu huyu zaidi ya kusema kuhusu Rushwa za ngono wala hakuwa na shida yeyote na Jiwe
 
chadomo wakizipiga wakaenda kununua nyumba Dubai mnaona safi tu,
hawaangalii hata ofisi hawana!,kazi yao kuishi kwa hisia zaidi na kwa hofu ya kuibiwa.
::mwizi akiibiwa huwa anasikia uchungu zaidi::
 
Huyu Dr. Ni mchawi mwenye fikra za kimasikini mbona kabla ya RT hakuwa na wazo lolote la kusaidia kupromote utalii.

Utalii umekuwa ukijipromote wenyewe watu wanaijua serengeti,ngorongoro na kila kitu msianze kule uongo
 
Aulizwe kama anajua maana ya kuwa na connection na wakubwa wa dunia hii katika tasnia mbalimbali. Suala siyo ubora tu, suala ni nani anaweza kukuungisha jambo lako likafanikiwa

Kwa hiyo unasema Rais alikwenda kutafuta connection na unakubaliana na Dr kuwa filamu hii haina ubora wa hela tuliyo ambiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa watu wanadanganya watu wazima kuvua samaki kwa mtindo ule unafikiri kuna filamu pale. Nacho kiona sasa iyo ililetwa kama proposal na huyo mzungu ikiwa na bajeti, serikali wakapitisha mzungu akajikamatia fedha yake.

Inashindwa ata na kile kipindi cha tvt, au tbc miaka iyo kinazungumzia ruaha, serengeti, viboko wanavyokulq nyumbu. Utasikia “mto ruaha ukauka”

Hahahah Mbengooooooo za Royoooo tourrr zitoofungukoooo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Kijana 9Bilion unadhani wangeleta maji huku kusini kote Tena kila Kijiji....na chenji ingebaki... Hiyo hela dah
Acha uongo bilion 9 hazitoshi usemayo hata kidogo,suala unaloongelea lingehitaji bl. 200 na kuendelea!
N.b,bil 2 unajenga jengo la ghorofa 8.
 
Back
Top Bottom