Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Hii Filamu inaenda kuuzwa Hollywood ?

Kwahio wewe ubora unatokana na nani katengeneza na sio nini kimefanywa (technically)?

Hata Game of Thrones au Lord of the Rings kuna Bloopers ijekuwa hii ya kazi iliyofanywa ndani ya miezi ?!!!
 
Huo ndiyo ujuha, cocacola nani asiyeilewa duniani? Kila kukicha wanafanya promotion. Umejiuliza kwanini?
Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?

Kwani tulikuwa hatufanyi promo? Hujui kazi Tanzania tourist board?
 
Wewe bibie una shida sana sana.

Anyway Yeye (Dr Vicencia) ana shahada ya udaktari wa sanaa na ubunifu, ni mhadhiri chuo bora cha UDSM, ni sahihi kwa yeye kuona mapungufu katika hiyo sinema ya huyo 'muislamu' mwenzako kuliko wewe masijala hapo TAMISEM kumkosoa kwa hoja dhaifu za udini.
Akafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.

Huyo asituletee usanii uliomshinda. Awaache wasanii natural (mama Samia suluhu) wacheze filamu kwa faida ya Taifa.

Kishabuni kipi huyo na hilo Phd lake? Sijakiona zaidi yachuki za kukosoa kijinga. Ingekuwa Samia ni Kristina tusingemuona akikosoa, angesifia.
 
Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?

Kwani tulikuwa hatufanyi promo? Hujui kazi Tanzania tourist board?
Asiyeelewa maana haambiwi maana. Mnasikitisha sana uelewa wenu Watanzania.

Unashindwa hata kusoma na kuelewa kimemaanisha nini. Pole sana.
 
Hii Filamu inaenda kuuzwa Hollywood ?

Kwahio wewe ubora unatokana na nani katengeneza na sio nini kimefanywa (technically)?
Hiyo ni franchise ya producer,kaifanya Poland,Mexico,Israel,rwanda...atengeneze kitu low quality aharibu kazi yake!!?..ni mahindi wa Emmy award,aharibu CV yake kwa nini!?
 
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇

Sukuma Gang huyo, roho inamuuma hana lolote.
 
Asiyeelewa maana haambiwi maana. Mnasikitisha sana uelewa wenu Watanzania.

Unashindwa hata kusoma na kuelewa kimemaanisha nini. Pole sana.
Wewe ndio unajikanganya. Miaka yote watalii wanamwagika bongo hujui kuwa wanafanyiwa promo? Promo hata kupitia magazeti.
 
Hiyo ni franchise ya producer,kaifanya Poland,Mexico,Israel,rwanda...atengeneze kitu low quality aharibu kazi yake!!?..ni mahindi wa Emmy award,aharibu CV yake kwa nini!?
Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...

Pili hata kina Steven Spielberg Quentin Tarantino, Scorsese, Jonathan Nolan (One of the Best Directors) walishawahi kutoa mashudu...

Sio kwamba nasema hii documentary ni Mashudu, bali napingana na wewe kwamba mtu anayejua hawezi kutoa kitu kibovu (anaya-determine ubora mwisho wa siku ni watuamiaji) unless otherwise kiwe kitu original watu wasikielewe hence kukielewa na kukipenda over time
 
Wewe ndio unajikanganya. Miaka yote watalii wanamwagika bongo hujui kuwa wanafanyiwa promo? Promo hata kupitia magazeti.
Wewe mwenye uelewa na usiyejichanganya inasikitisha sana kwa uelewa wao wpte umeshindwa kuelewa kuwa watalii wanakuja Tanzania ni kidogo sana ukilinganisha na wanaoweza kuja wakifanyiwa "awareness" na ndicho alichokifanya mama.

Nadhani huelewi kuwa katika dunia Tanzania ndiyo nchi ya pili yenye vivutio vingi na vya kipekee vya utalii lakini watalii wanaokuja ni wachache sana ukilinganisha na nchi zisizo na vibutio.

Naona huelewi kuwa hata nchi jirani zina "promote" vivuytio vya Tanzania viko kwao, kwa uongo tu wanaingiza pesa.

Nyinyi bakini na udini wenu. Hoja zako ni za kijinga kabisa, halafu usije kusema hapa kuwa wewe ni msomi wa chuo kikuu. Uliokujaa ni ujinga tu. Huna zaidi.
 
Huyu dr. Ndio alisemaga wanafunzi wa UDSM hawajui kuoga, wananuka hovyo tu.
Sina hamu na huyu doctor. Huyu hata ukitembea naye lazima akutangaze kwamba ni mkulima na mmiliki halali wa bamia.
Teh teh teh teh 😂😂 hii kali
 
Back
Top Bottom