FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huo ndiyo ujuha, cocacola nani asiyeilewa duniani? Kila kukicha wanafanya promotion. Umejiuliza kwanini?Apromote nini wakati Kilimanjaro na Serengeti zinajulikana duniani kote hata bila RT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo ujuha, cocacola nani asiyeilewa duniani? Kila kukicha wanafanya promotion. Umejiuliza kwanini?Apromote nini wakati Kilimanjaro na Serengeti zinajulikana duniani kote hata bila RT.
Ana shida sana huyu bibie, alipona pona kipindi kile na elimu yake ya hapa na pale akawa tuli kama ananyolewa, sasa hivi anatunisha misuli na kuvimba eti kwa kuwa tu kiti kimekaliwa na 'Muislamu' mwenzake.Kumbe ni karani hapo masijala TamiSemi?
Hii Filamu inaenda kuuzwa Hollywood ?Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?Huo ndiyo ujuha, cocacola nani asiyeilewa duniani? Kila kukicha wanafanya promotion. Umejiuliza kwanini?
Akafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.Wewe bibie una shida sana sana.
Anyway Yeye (Dr Vicencia) ana shahada ya udaktari wa sanaa na ubunifu, ni mhadhiri chuo bora cha UDSM, ni sahihi kwa yeye kuona mapungufu katika hiyo sinema ya huyo 'muislamu' mwenzako kuliko wewe masijala hapo TAMISEM kumkosoa kwa hoja dhaifu za udini.
Asiyeelewa maana haambiwi maana. Mnasikitisha sana uelewa wenu Watanzania.Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?
Kwani tulikuwa hatufanyi promo? Hujui kazi Tanzania tourist board?
Hiyo ni franchise ya producer,kaifanya Poland,Mexico,Israel,rwanda...atengeneze kitu low quality aharibu kazi yake!!?..ni mahindi wa Emmy award,aharibu CV yake kwa nini!?Hii Filamu inaenda kuuzwa Hollywood ?
Kwahio wewe ubora unatokana na nani katengeneza na sio nini kimefanywa (technically)?
Sukuma Gang huyo, roho inamuuma hana lolote."Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇
Naked truth"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika...
Wewe ndio unajikanganya. Miaka yote watalii wanamwagika bongo hujui kuwa wanafanyiwa promo? Promo hata kupitia magazeti.Asiyeelewa maana haambiwi maana. Mnasikitisha sana uelewa wenu Watanzania.
Unashindwa hata kusoma na kuelewa kimemaanisha nini. Pole sana.
Hebu angalia promo ya taken 4Praise the lord fc. Kazi mbovu bana tuzibe macho kuwa hatuoni ama? 😁 kuwa nominated haimaanishi kuwa uko perfect kwa kila kazi.
Wewe unajua 4k ni nini!?..unaleta habari za cs jamaa!!!Mwalimu wa communication skills asijue huo ujinga?
Nimsome wa nini Mimi!!..Unamjua Vicensia Shule kweli?
Msome kwanza, mjue then uje ulete hoja zako mezani!
Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...Hiyo ni franchise ya producer,kaifanya Poland,Mexico,Israel,rwanda...atengeneze kitu low quality aharibu kazi yake!!?..ni mahindi wa Emmy award,aharibu CV yake kwa nini!?
Wewe mwenye uelewa na usiyejichanganya inasikitisha sana kwa uelewa wao wpte umeshindwa kuelewa kuwa watalii wanakuja Tanzania ni kidogo sana ukilinganisha na wanaoweza kuja wakifanyiwa "awareness" na ndicho alichokifanya mama.Wewe ndio unajikanganya. Miaka yote watalii wanamwagika bongo hujui kuwa wanafanyiwa promo? Promo hata kupitia magazeti.
Teh teh teh teh 😂😂 hii kaliHuyu dr. Ndio alisemaga wanafunzi wa UDSM hawajui kuoga, wananuka hovyo tu.
Sina hamu na huyu doctor. Huyu hata ukitembea naye lazima akutangaze kwamba ni mkulima na mmiliki halali wa bamia.
U dr wake wa kibahatisha au?"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika...