Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Nia ya kuitangaza Tanzania ilikuwa njema lakini sidhani kama njia iliyotumika itawagusa wengi na kuwafanya waamue kuja Tanzania kwasababu ya filamu ya royal tour tu. Yameisha tokea, juhudi iliyotumika ni kubwa na haitoshi kwasababu kujitangaza ni zoezi endelevu..
 
Alfu kumbe amesomea utopolo mtupu eti fine art mm nikajuwa labda dad etu Ni mwalimu wa engineering au bcom au hat land valuation
Katumia vigezo gani kuchambua huo mkanda?
 
Kwamba uangalie hiyo cracked film halafu ufanye conclusion ya ubora?

Hicho ndicho chanzo halisi kutoka PBS?
Kwani ubora wa content unaonekana vipi??
Kama unazungumzia quality ya picha hamna mjadala hapa.
 
Ameangalia vigezo gani ?
1.Maudhui?
2.Wahusika?
3.Ubora wa picha na camera angles na mixing ?
4.Sound?
 
Hapa inatakiwa ubishe kwa facts sio kila kinachowekwa Hollywood ni bora kuliko vyote. Dokta anasema ubora wake sio mkubwa kulinganisha na ubora wa filamu zinginde za nyakati hizi. Mfano hata filamu za anold , Rambo na Van damme zilikuwa bora kwa wakati wake na zikaoneshwa Hollywood lakini ukiziangalia leo ni low quality
Ninacho kijua mimi ni kwamba lengo la mama samia wala halikuwa ubora bali ilikuwa ni kutafuta connections na watalii, kama ingekuwa ni ubora hata nisher angetoa tu kitu quality sana ila sasa kinaenda vip kwa walengwa ndio swala lingine.
 
Bilioni 9 zimelala pale.

Wakaishia kutuonesha Mlima Kilimanjaro ambao hauna barafu.
jumlisha na chakula walichokula,mafuta ya kuweka kwenye magari yao diesel/petrol...kwa gharama iyo ni sawa kabisa
 
Back
Top Bottom