The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Sio kweli.Huyo Binti ana Historia hiyo ya kubambikia watu kesi.
Mfano Dereva bodaboda kwao Sumbawanga,walitaka kumtoa kafara na Mama yake!
Mahakama ikamuondolea kosa la ubakaji,maana Binti kwenye mahojiano Mahakamani alikiri kuwa walikuwa wapenzi.
Kwa case ya Nawanda,nawajua baadhi ya mabinti wa chuo na tamaa zao.Wanaweza kufanya chochote kwa sababu ya pesa.
Ndio maana tumeiachia Mahakama itende Haki.
Kwangu Mimi Binadamu wote ni sawa.Hiaijalishi Cheo,Pesa,Nguvu,Madaraka au Jinsia.
Hilo Swali tuwaulize Jamhuri,Mimi sijasomea Sheria.Nilisikia kuwa kesi kama hii haina dhamana .... au kwa vile alikuwa na Cheo....!!? Dalili za mvua ....!!
hizo pesa ni ushahidi collaborated evidence. km alimpa cash,kumrushia au akaunti ya mlalamikaji itaonyesha.kazi ipoWacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Ukimsikiliza kwenye ile video mwishoni aliulizwa swali akakubali kuwa alizipokea na zilikuwa 10 milioni. Na mama yake alipewa 3 milioni. Jumla ya pesa zote ni 13M.Alisema hakuzishika wala kuzihesabu
GukulSamia anateua viongozi wenye kudhalilishwa Serikali yake,
1. Naibu waziri, alisababisha mwanachuo kufariki, Hadi Leo hakuna kesi.
2. Na Wana anatuhumiwa kulawiti.
Sasa tatizo Hasa ni nini🤔
Naomba namba ya huyo demu😅😅Hawa mabinti ni wa kuwa nao makini sana, hivi karibuni nipo na demu mmoja ananiambia nimtie kidole cha mkundun ete anasikia raha, nikaona yale yale ya Nawanda.. nikamuambia siwezi mie hiyo kazi
Hapo kwenye ku prove kama kweli alilawitiwa ndipo penye mtihani. Swali ni Je, baada ya kulawitiwa alikwenda hospital na kupimwa?Nikisoma case law, hasa kesi zilizoamliwa na mahakama ya rufaa, hapa Tz, huwa naona ugumu hujitokeza, pamoja na uthibitisho kwamba X kabakwa/kulawitiwa, nani aliyefanya hivyo. Ngoma huwa ku'prove' na mahakama inataka itoe hukumu bila kuacha mashaka yoyote (bila favour wala fear). Sasa hapa...ngoja tusubiri itakuwaje.
Ila sasa hivi Mahakama ziko serious kama ushahidi umenyooka hakuna kuremba, kuna Mwalimu kala miaka 30 kwa kuruhusu kulawitiwa na mwanafunzi uko kusini!!Ujinga wa mahakama za Tanzania utashangaa nakwambia nyie subirini tu
namba yake tena ?Naomba namba ya huyo demu😅😅
Nani kakuambia atazikubali? Atazikana tu.Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Kwani na wewe ni mkuu wa mkoa au una ka cheo cheo? Maana hizi ishu watu wanazifanya sana ila kwa wenye vyeo ndo wakae nayo mbali maana ni mtego, kama huna kitulize tu hamna mwenye muda na weweHawa mabinti ni wa kuwa nao makini sana, hivi karibuni nipo na demu mmoja ananiambia nimtie kidole cha mkundun ete anasikia raha, nikaona yale yale ya Nawanda.. nikamuambia siwezi mie hiyo kazi
Hicho ni kizibiti cha Rushwa.Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??
Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. NawandaiH
Hivi hiyo PhD alenda kusomea ujinga ?Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda
Nikisikiliza shuhuda kama hizi, naona Mbinguni naendaHawa mabinti ni wa kuwa nao makini sana, hivi karibuni nipo na demu mmoja ananiambia nimtie kidole cha mkundun ete anasikia raha, nikaona yale yale ya Nawanda.. nikamuambia siwezi mie hiyo kazi
Kwa Mahakama zetu sijui ngoja tutaona.Huko haki itapatkana. Kama anasingiziwa itajulikana.
Ni bailable offence. Ana haki ya kupata dhamana bila hata kupanga na Hakimu. Ila kesi ikianza ndio ukweli utajulikana.ATAPATA DHAMANNA AS LONG AS IT IS BAILLABLE, WAMESHAPANGA KILA KITU NA HAKIMU KESHAPATA CHAKE (MOST PROBABLY, INGAWA NI VIGUMU KUWATAKA MLUNGULA)
Kufungwa hawezi?kufungwa hawezi lakini akili yake haitakaa itulie...
Watoto watamfikiriaje, wake je, wajukuu, cheo chake hakipo tena...daah jamani vijana msiruke stage kwa kujifanya wafia dini
Hata Kama Mahakama itambeba , ila amepata somo.Ujinga wa mahakama za Tanzania utashangaa nakwambia nyie subirini tu