Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Sio kweli.Huyo Binti ana Historia hiyo ya kubambikia watu kesi.
Mfano Dereva bodaboda kwao Sumbawanga,walitaka kumtoa kafara na Mama yake!
Mahakama ikamuondolea kosa la ubakaji,maana Binti kwenye mahojiano Mahakamani alikiri kuwa walikuwa wapenzi.
Kwa case ya Nawanda,nawajua baadhi ya mabinti wa chuo na tamaa zao.Wanaweza kufanya chochote kwa sababu ya pesa.
Ndio maana tumeiachia Mahakama itende Haki.
Kwangu Mimi Binadamu wote ni sawa.Hiaijalishi Cheo,Pesa,Nguvu,Madaraka au Jinsia.

Nilisikia kuwa kesi kama hii haina dhamana .... au kwa vile alikuwa na Cheo....!!? Dalili za mvua ....!!
 
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??

Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
hizo pesa ni ushahidi collaborated evidence. km alimpa cash,kumrushia au akaunti ya mlalamikaji itaonyesha.kazi ipo
 
Nikisoma case law, hasa kesi zilizoamliwa na mahakama ya rufaa, hapa Tz, huwa naona ugumu hujitokeza, pamoja na uthibitisho kwamba X kabakwa/kulawitiwa, nani aliyefanya hivyo. Ngoma huwa ku'prove' na mahakama inataka itoe hukumu bila kuacha mashaka yoyote (bila favour wala fear). Sasa hapa...ngoja tusubiri itakuwaje.
Hapo kwenye ku prove kama kweli alilawitiwa ndipo penye mtihani. Swali ni Je, baada ya kulawitiwa alikwenda hospital na kupimwa?

Je, kuna ushahidi wa manii za mtuhumiwa kwenye tigo ya binti?

Maswali ni mengi sana.
 
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??

Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Nani kakuambia atazikubali? Atazikana tu.

Kukubali kuwa alitoa hela kuziba mdomo, ni kuthibitisha kuwa alifanya kosa

Binti alishapata coaching ya kisheria. Hizo pesa ni zake na wanasheria wanaomsimamia..

Pesa zinazoweza kutumika kama ushahidi ni zile walizompa mama yake. Na walizilipia benki..

Hizo zikijengewa hoja za kisheria vizuri na huyo mama akajitokeza kutoa ushahidi zaweza kumtia hatiani Nawanda kirahisi sana!!
 
Hawa mabinti ni wa kuwa nao makini sana, hivi karibuni nipo na demu mmoja ananiambia nimtie kidole cha mkundun ete anasikia raha, nikaona yale yale ya Nawanda.. nikamuambia siwezi mie hiyo kazi
Kwani na wewe ni mkuu wa mkoa au una ka cheo cheo? Maana hizi ishu watu wanazifanya sana ila kwa wenye vyeo ndo wakae nayo mbali maana ni mtego, kama huna kitulize tu hamna mwenye muda na wewe
 
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??

Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Hicho ni kizibiti cha Rushwa.
 
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma

Hivi hiyo PhD alenda kusomea ujinga ?
 
Back
Top Bottom