mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Dereva wa kibongo hata umuweke miundo mbinu gani bado ajali zitatokeaAjali nyingi zinasabanishwa na uzembe wa madereva na ufinyu wa miundo Mbinu.
Serikali ibiboreshe miundo mbinu na kuhakikisha madereva wanafuata SHERIA Kwa kuepuka vileo na kuendesha magari wakiwa wamechoka. Pawe na ulazima wa madereva wote kupumzika kila baada ya masaa SITA. Wapumzike Kwa muda wa saa Moja na nusu.
Kona zote na miinuko ziwe na Barabara ya Tatu ya mchepuko .
Ajali nyingi za asubuhi ,alfajiri na usiku sana wa manane zinasababishwa na usingizi.
Discipline Discipline tena madereva wa sasa hawa waliyoanza kuendesha magari miaka 2000 ni shida
Ova