Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Mungu ana ruhusu ajari?kwa ushahidi upi?uzembe wa watu,unamsingizia Mungu,Waafrika/watu wenye upeo,Elimu ndogo,mambo yao yasipoenda kwa kukosa maarifa na ujuzi,usema ni mapenzi ya Mungu.
Mungu Wala hausiki,
Acheni uvivu wa akili.
Mkuu kuna mtu alishasema, "wakimbie watu wanaosema yote kazi ya Mungu". Ni watu ovyo kuliko uovyo wenyewe.
 
Tukiachana na Na huyo unaemtuhumu, kibaigwa jinsi ilivyo almost 75% ya pesa zinazozunguka pale ni za moto[emoji91] na 25% zilizobaki ndiyo pesa halali yaani matajiri wa pale aaagh! aisee sijui hata nisemeje ila huo ndio ukweli
Acha fikra za kishirikina hutapiga hatua Kama utakuwa na mawazo hayo muombe mungu kila kitu kinawezekana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ajali nyingi zinasabanishwa na uzembe wa madereva na ufinyu wa miundo Mbinu.

Serikali ibiboreshe miundo mbinu na kuhakikisha madereva wanafuata SHERIA Kwa kuepuka vileo na kuendesha magari wakiwa wamechoka. Pawe na ulazima wa madereva wote kupumzika kila baada ya masaa SITA. Wapumzike Kwa muda wa saa Moja na nusu.

Kona zote na miinuko ziwe na Barabara ya Tatu ya mchepuko .
Ajali nyingi za asubuhi ,alfajiri na usiku sana wa manane zinasababishwa na usingizi.
 
Kwenye list hapo ujinga wa madereva hamna? Hapo ndipo kwenye zaidi ya 90% ya tatizo:

1. Kama haoni waziwazi anakokwenda dereva anategemea nini?
2. Kama miundo mbinu mibovu tahadhali zipi anachukua?

Atalaumiwa sana dobi hapa, ila kaniki rangi yake.
Namba 1 ndio dereva
 
Sio Mungu la hasha! Ni watu wanaofanya kazi na shetani wameamua kula binadamu wenzao. Haya mambo yapo sana.
Hao Forester wanaendesha hivyo Sana,nikikumbuka walivyotuburuzaburuza pale vilima vya sekenke
 
Ajali nyingi zinasabanishwa na uzembe wa madereva na ufinyu wa miundo Mbinu.

Serikali ibiboreshe miundo mbinu na kuhakikisha madereva wanafuata SHERIA Kwa kuepuka vileo na kuendesha magari wakiwa wamechoka. Pawe na ulazima wa madereva wote kupumzika kila baada ya masaa SITA. Wapumzike Kwa muda wa saa Moja na nusu.

Kona zote na miinuko ziwe na Barabara ya Tatu ya mchepuko .
Ajali nyingi za asubuhi ,alfajiri na usiku sana wa manane zinasababishwa na usingizi.
Ni madereva tu,mnagongana vipi ikiwa kila mtu ana upande wake wa kupitia na mnaenda uelekeo tofauti!?
 
Ndio ipate ajali saa saba usiku??? Kuweni serious kidogo. Itakuwa ni frester inayotoka bukoba kwenda Daresalam
Next time jifunze kuchanganua kabla haujaandika chochote hapa Jf...
Huu uzi umeletwa saa moja na dakika kumi asubuhi, na mleta mada akasema atatu uodate kwasababu ndio wanaokoa watu.
Sasa kwa mtazamo wa haraka nikwamba kwa hiyo mida ya 7:10am hakuna Bus la Fredy linalo pita Kibaigwa zaidi ya zile za kutoka Morogoro.
Hii habari ya wewe kuja kuanza kukosoa watu humu saa sita mchana naona wewe ndio haupo serious kwenye mambo ya msingi.
 
Ajali nyingi zinasababishwa na yafuatayo.

1. Kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.

2. Ubovu wa vyombo vya usafiri.

3. Kukithiri kwa Rushwa. Trafiki yupo tayari kupokea buku 2 na kuruhusu gari bovu kuendelea na safari matokeo yake ndio haya.
Tusiwatupie watu wengine lawama zisizo na msingi.

Gari limefanya wrong overtaking na kugongana uso Kwa uso . Au Dereva amesinzia na kwenda kugonga gari nyengine hapo Polisi wanahusika Vipi?

Ajali nyingi zinasababishwa na uzembe wa madereva na usingizi hasa kwenye Highways.

Ingekua ajali zinasababishwa na magari mabovu Daladala za Dar es Salaam zingesababisha ajali nyingi mana nyingi ni mbovu sana.
 
Dah Mungu awasamehe makosa yao na kuwahifadhi marehemu wote (abiria) mahali salama. Rest in peace [emoji24]


T415 DPP, DPP la umeme, dah hujamaliza vzr
Ila legacy yako ni kubwa sna
 
Kibaigwa ni nyumbani hivyo ule mji naufahamu vizuri. ukiwa unaelekea Morogoro basi mji huu upo karibu na mpaka kati ya Dom na morogoro yaani unatoka kibaigwa unaingia pandambili halafu gairo[morogoro]

Sasa kwa ishu ya Gari la kutoka kahama kuja Dar kawaida huwa yanapita kibaigwa jioni kuanzia majira ya saa 10 na kuendelea lakini kama hilo basi limepita sasahivi asubuhi basi huenda lili lala njiani au walitembea usiku na kwamba walichelewa kutoka kahama.,ingawa binafsi sijawahi kuona gari likitoka kahama au mwanza au bariadi kuja Dar na halafu likapita Kibaigwa asubuhi.
Usiwe na haraka kama ya kwanza. umeambiwa ajali imetokea saa saba usiku.
 
Back
Top Bottom