Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Dereva wa kibongo hata umuweke miundo mbinu gani bado ajali zitatokea

Discipline Discipline tena madereva wa sasa hawa waliyoanza kuendesha magari miaka 2000 ni shida

Ova
 
Tukiachana na Na huyo unaemtuhumu, kibaigwa jinsi ilivyo almost 75% ya pesa zinazozunguka pale ni za moto[emoji91] na 25% zilizobaki ndiyo pesa halali yaani matajiri wa pale aaagh! aisee sijui hata nisemeje ila huo ndio ukweli
kwa mawazo hayo lazima ufe masikini tu
 
Naona hizi tabia zenu za kule insta na fb mnataka kuzihamishia huku na nashangaa moderator na amekuachia tuu kuharibu uzi

Yaani kweli uzi wa tanzia na nchi nzima ipo kwenye msiba,wewe unaleta tangazo la biashara....unaona upo sawa!!!!!!!????
 
Hio ndio control measure yenye 100% effeciency. Hio ndio itaondosha overtaking za kizembe
 
hilo basi lilitoka mbezi asubuhi lilikuwa bovu aiwezekani kutoka mbezi asubuhi na kufika chibaigwa saa 7 usiku
Lilikuwa linarudi dar soma uelewe kilaza wewe

USSR
 
Du poleni jamn huwa napanda Hilo bas pale cbe saaa Tano usiku kwenda dar huo mwendo ukifika magufuli unashikuru kingamuzi wangoa na kuweka mfukoni
Hi kweli mdau,mi Baada ya kuzipanda hizo Frester km mara nne kutokea pale cbe dom na kuonekana mi ndo mshamba wa mwendokasi nimehamia kwenye Saratoga au advanture za kutoka Kigoma.Hao Frester wanakimbia mno
 
Mungu ana ruhusu ajari?kwa ushahidi upi?uzembe wa watu,unamsingizia Mungu,Waafrika/watu wenye upeo,Elimu ndogo,mambo yao yasipoenda kwa kukosa maarifa na ujuzi,usema ni mapenzi ya Mungu.
Mungu Wala hausiki,
Acheni uvivu wa akili.
Bora umeliona hilo yani Africa kila kitu tunamsingiziaga shetani tu apo n uzembe tu afrika lazima tukue kiakili na kifkra
 
Abilia zaidi ya 70,Dah! Kuishi Afrika mpaka miaka 70 ni Mungu tu husimama nasisii..... risk nyingiii sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…