Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.

Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea Kahama mcheki.

USSR

Hizi ajali ni shida sana ,madereva wazembe sana kwa road ,speed kubwa tu kila sehemu hata kama ni dangerous zone.
 
Kibaigwa ni nyumbani hivyo ule mji naufahamu vizuri. ukiwa unaelekea Morogoro basi mji huu upo karibu na mpaka kati ya Dom na morogoro yaani unatoka kibaigwa unaingia pandambili halafu gairo[morogoro]

Sasa kwa ishu ya Gari la kutoka kahama kuja Dar kawaida huwa yanapita kibaigwa jioni kuanzia majira ya saa 10 na kuendelea lakini kama hilo basi limepita sasahivi asubuhi basi huenda lili lala njiani au walitembea usiku na kwamba walichelewa kutoka kahama.,ingawa binafsi sijawahi kuona gari likitoka kahama au mwanza au bariadi kuja Dar na halafu likapita Kibaigwa asubuhi.
 
Sio Mungu la hasha! Ni watu wanaofanya kazi na shetani wameamua kula binadamu wenzao. Haya mambo yapo sana.
Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...
 
Tukiachana na Na huyo unaemtuhumu, kibaigwa jinsi ilivyo almost 75% ya pesa zinazozunguka pale ni za moto[emoji91] na 25% zilizobaki ndiyo pesa halali yaani matajiri wa pale aaagh! aisee sijui hata nisemeje ila huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom