Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...
Uongo
 
Ila uongo dhambi..madereva wa mabasi wanakimbia sana,tena giza likiingia ndo inakuwa fungulia mbwa!

Mi sio mtu wa safari,ila dec na januari nlipata safari mbili kwenda na kurudi jumla 4.nlichokiona barabarani kilinitisha.kipa nlipokua nafika nainama namwambia Mungu asante kwa kunifikisha salama.

Nlikua napishana na mabasi yanaikimbia kama upepo,tena wanashindana wawili ama watatu huku wengine wamekuovateki kwenye msururu,unaskia sauti kali fyuuuu fyuuuu ka wanashindana speed na upepo halafu wanatoweka mbele yako unawaona waleee[emoji38][emoji38]

Unaovateki kwa msururu unaunga tela bila kujua mwenzio huko mbele ana nafasi kiasi gani,akiotea nafsi yake unabaki we unakula mzinga
 
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na Lori lenye shehena ya saruji.

Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2023 katika Kijiji Cha Silwa Pandambili barabara kuu ya Dodoma - Morogoro huku chanzo cha ajali hiyo ikidaiwa ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Awadh Haji amefika eneo la ajali na kutoa rai kwa madereva kuzingatia usalama na sheria za barabarani.

#AzamTVUpdates #AzamNews
13ae105e-9d83-49bc-b2f8-3883c282a207.jpg

e8095428-8b05-4f86-a2b6-04fa7b383311.jpg
 
Attachments

  • 67d268c2-b1a2-46e7-8af7-b20ba997a70b.jpg
    67d268c2-b1a2-46e7-8af7-b20ba997a70b.jpg
    54.1 KB · Views: 5
  • 8ef8b466-5ec9-4804-b609-7721fffb18d4.jpg
    8ef8b466-5ec9-4804-b609-7721fffb18d4.jpg
    90.2 KB · Views: 4
  • 87efe054-0174-4603-9c3f-50faf4a82e26.jpg
    87efe054-0174-4603-9c3f-50faf4a82e26.jpg
    89.1 KB · Views: 6
  • 2822f9ec-264a-4791-9d2b-ccde2dad6915.jpg
    2822f9ec-264a-4791-9d2b-ccde2dad6915.jpg
    57.4 KB · Views: 5
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na Lori lenye shehena ya saruji.

Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2023 katika Kijiji Cha Silwa Pandambili barabara kuu ya Dodoma - Morogoro huku chanzo cha ajali hiyo ikidaiwa ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari

Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Awadh Haji amefika eneo la ajali na kutoa rai kwa madereva kuzingatia usalama na sheria za barabarani.

#AzamTVUpdates #AzamNewsView attachment 2511296

View attachment 2511300

Inasikitisha sana. Wapumzike kwa amani.
 
Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...
Na ukaamini? very sorry to you.
 
Back
Top Bottom