luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Basi lilitoka kahama muda huu linaweza kufika Dodoma?? Au una maanisha Gari imetoka Dodoma kuelekea KAHAMA? weka taarifa yako kwa usahihi
Kuna Frester huwa inaanzia Morogoro kwenda Kahama, nahisi itakua ndo hiyo