luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Basi lilitoka kahama muda huu linaweza kufika Dodoma?? Au una maanisha Gari imetoka Dodoma kuelekea KAHAMA? weka taarifa yako kwa usahihi
Picha inahusu, tuwekee hata tairi tu itatosha.Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea Kahama mcheki.
USSR
Umasikini wa fikra ni kitu kibaya sana.ndugai kaamua kutoa kafara
Upo sahihi, huwa zinaongozana na Nyehunge pamoja na AboodKuna Frester huwa inaanzia Morogoro kwenda Kahama, nahisi itakua ndo hiyo
Mungu ana ruhusu ajari?kwa ushahidi upi?uzembe wa watu,unamsingizia Mungu,Waafrika/watu wenye upeo,Elimu ndogo,mambo yao yasipoenda kwa kukosa maarifa na ujuzi,usema ni mapenzi ya Mungu.Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Mengine hatupaswi kumlaumu Mungu, je chombo kinafanyiwa regular services kwa wakati? Na je? Dereva anapata muda wa kupumzika? Nk nk. Tuyatazame kwanza hayo na ajali zitapingua.Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Kwanini unamlaumu Mungu? Uzembe wa madereva unamlaumu Mungu kweli lakini?Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea Kahama mcheki.
USSR
Acha akili mgando uokozi hua unaenda sambamba na taarifa ili msaada zaidi upatikane kwa walio karibu na eneo akili zako mavi matupu
Huu mwaka mbona ajali nyingi sana? Mungu asante kutupa tena nafasi ya kufika siku ya leo.
Saa hizi basi la kahama limefikaje hapo mkuuNi ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea Kahama mcheki.
USSR
Mungu hausiki MamndenyiMungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...Sio Mungu la hasha! Ni watu wanaofanya kazi na shetani wameamua kula binadamu wenzao. Haya mambo yapo sana.
Vyanzo vikuu vya ajali huwa ni uzembe au miundombinuMungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Si itakua ililala Dodoma jamani?Frester ya kutoka/ kwenda wapi hiyo saa hizi iko Kibaigwa? Gari zimeruhusiwa kusafiri usiku siku hizi?