Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Hilo eneo walilotaja hapo juu sidhani kama pana kona kali pale,itakuwa huu ni uzembe wa kuovertake,au dereva alisinzia kutokana na uchovu,vinginevyo labda kama kulikuwa kunaukwepaji wa shimo,maana kipindi hiki cha mvua barabra nyingi huwa zinakuwa na mashimo makali sana-sharp potholes...
 
Naskia chanzo ni lililokuwa limebeba ng'ombe kuweka break down njiani bila kiashiria dereva wa bus aliovateki bila kuona mbele na kukutana na lori la cement.
 
Kwamba gari ilikua na abiria 75?

Na inabeba abiria 53
 
Mbona hilo basi laonesha lilikuwa limebeba watu 75?
Maaana kama wamekufa 12
Majeruhi ni 63

Wakati uwezo wa Basi ni abiria 52

Uzembe wa nani kwa kuongezeka watu 23?
Hili nalo tatizo jingine. Tz pesa inatangulizwa ndo ubinadamu unafata.

Unakuta Waiter alikufungulia chupa inapasuka akanuomba unywee upande ambao haujapasuka na usiinywe hadi chini maana chupa zinazamaga zinakaa chini ili asipate short.
 
ni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.
Jumla ya ABIRIA NI 75, hilo bus lina siti ngapi?
Ajali imetokea saa 7 usiku kongwa, bus Ukitoka Kahama saa ngapi?
 
Na mkuu mbona usiku ni rahisi kuliko mchana maana usiku mwenzio akija unaona taa unajua kwamba kuna gari sema inatakiwa umakini tu mimi naona
 
Masikitiko makubwa sana. Pole sana waliokumbwa na ajali hii. MUNGU pekee akawafariji wafiwa na kuwaponya majeruhi.
 
Ajali nyingi zinasababishwa na yafuatayo.

1. Kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.

2. Ubovu wa vyombo vya usafiri.

3. Kukithiri kwa Rushwa. Trafiki yupo tayari kupokea buku 2 na kuruhusu gari bovu kuendelea na safari matokeo yake ndio haya.
 
... kuna haja kuangalia hizi long safaris upya. Kwa mfano kusiwe na leseni ya moja kwa moja Dar - Bukoba, Dar - Musoma, Dar - Kigoma, etc. Safari ikishakuwa zaidi ya 800km magari yaishie nearby cities uwe ndio mwisho wa leseni zao. Itasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…