Kwani mtoa mada kakwambiaje?
Limetoka kahama
Ajali nyingi zinasababishwa na yafuatayo.
1. Kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.
2. Ubovu wa vyombo vya usafiri.
3. Kukithiri kwa Rushwa. Trafiki yupo tayari kupokea buku 2 na kuruhusu gari bovu kuendelea na safari matokeo yake ndio haya.
Acheni kumsingizia munguMungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Na tutazika sanaaaHizi ajali ni shida sana ,madereva wazembe sana kwa road ,speed kubwa tu kila sehemu hata kama ni dangerous zone.
... kuna haja kuangalia hizi long safaris upya. Kwa mfano kusiwe na leseni ya moja kwa moja Dar - Bukoba, Dar - Musoma, Dar - Kigoma, etc. Safari ikishakuwa zaidi ya 800km magari yaishie nearby cities uwe ndio mwisho wa leseni zao. Itasaidia.

Sasa kama binadam mwenyewe kiburiEe Mwenyezi MUNGU tusaidie, poleni sana kwa wafiwa na marehemu wapumzike kwa Amani[emoji120][emoji20]
Itakuwa Kutoka Kagera Hiyo Ya Kahama Muda Huo Itakuwa Dar Es Salaamni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.
Jumla ya ABIRIA NI 75, hilo bus lina siti ngapi?
Ajali imetokea saa 7 usiku kongwa, bus Ukitoka Kahama saa ngapi?
Waanze kujikoa wenyewe madereva si wanajifanya waendazimMungu tuokoe na haya!
Aisee tutakoma kuringaSasa kama binadam mwenyewe kiburi
Hasikiii unategemeaa nn,wakifa sisi ni kuzika tu
Ova
Sahihi Usemacho Lakini Mamlaka Ya Kudhibiti Nauli Nayo Ipo Shida... kuna haja kuangalia hizi long safaris upya. Kwa mfano kusiwe na leseni ya moja kwa moja Dar - Bukoba, Dar - Musoma, Dar - Kigoma, etc. Safari ikishakuwa zaidi ya 800km magari yaishie nearby cities uwe ndio mwisho wa leseni zao. Itasaidia.
[emoji1787] nakubali hii ukiendesha double lane hapa town utaona mtu anahama hangalii side mirror anatoka upande upande wako anakuja kwako wakat spid yke ndogo..Kwa akili za madereva wa Tz hata uwawekee njia 10 watasababisha ajali tu.
Ajali nyingi zinasababishwa na yafuatayo.
1. Kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.
2. Ubovu wa vyombo vya usafiri.
3. Kukithiri kwa Rushwa. Trafiki yupo tayari kupokea buku 2 na kuruhusu gari bovu kuendelea na safari matokeo yake ndio haya.
Shauri zao watu si wabishiAisee tutakoma kuringa