Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mkuu kuna mtu alishasema, "wakimbie watu wanaosema yote kazi ya Mungu". Ni watu ovyo kuliko uovyo wenyewe.Mungu ana ruhusu ajari?kwa ushahidi upi?uzembe wa watu,unamsingizia Mungu,Waafrika/watu wenye upeo,Elimu ndogo,mambo yao yasipoenda kwa kukosa maarifa na ujuzi,usema ni mapenzi ya Mungu.
Mungu Wala hausiki,
Acheni uvivu wa akili.
Hakuna kinachotoka nje ya decree mkuu.Inahusika na tetemeko la Uturuki.
Mbona watu wanakufa wengi vile?
#YNWA
Naam mkuu watu wanaendesha hovyo sana usiku.Ukiwasikiliza watu wanaoahabikia usiku watakupa sababu wabakwepa usumbufu wa polisi na tochi zao, hapa utajua ni watu wa kukimbia hovyo bila kujali alama za barabarani
Acha fikra za kishirikina hutapiga hatua Kama utakuwa na mawazo hayo muombe mungu kila kitu kinawezekanaTukiachana na Na huyo unaemtuhumu, kibaigwa jinsi ilivyo almost 75% ya pesa zinazozunguka pale ni za moto[emoji91] na 25% zilizobaki ndiyo pesa halali yaani matajiri wa pale aaagh! aisee sijui hata nisemeje ila huo ndio ukweli
hilo swali una muuliza mungu huyu nimjuae au yule wako wa mabox?Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Mungu tusimsingizie ni binadamu hapa.Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
ExactlyUkiwa unasafiri sana utaona uzembe wa madereva wetu. Papara zisizo na msingi,ovateki za kipumbavu yaani ni vurugu tupu.
Namba 1 ndio derevaKwenye list hapo ujinga wa madereva hamna? Hapo ndipo kwenye zaidi ya 90% ya tatizo:
1. Kama haoni waziwazi anakokwenda dereva anategemea nini?
2. Kama miundo mbinu mibovu tahadhali zipi anachukua?
Atalaumiwa sana dobi hapa, ila kaniki rangi yake.
Hao Forester wanaendesha hivyo Sana,nikikumbuka walivyotuburuzaburuza pale vilima vya sekenkeSio Mungu la hasha! Ni watu wanaofanya kazi na shetani wameamua kula binadamu wenzao. Haya mambo yapo sana.
Ni madereva tu,mnagongana vipi ikiwa kila mtu ana upande wake wa kupitia na mnaenda uelekeo tofauti!?Ajali nyingi zinasabanishwa na uzembe wa madereva na ufinyu wa miundo Mbinu.
Serikali ibiboreshe miundo mbinu na kuhakikisha madereva wanafuata SHERIA Kwa kuepuka vileo na kuendesha magari wakiwa wamechoka. Pawe na ulazima wa madereva wote kupumzika kila baada ya masaa SITA. Wapumzike Kwa muda wa saa Moja na nusu.
Kona zote na miinuko ziwe na Barabara ya Tatu ya mchepuko .
Ajali nyingi za asubuhi ,alfajiri na usiku sana wa manane zinasababishwa na usingizi.
Elimu ni ufunguo wa maishaNamba 1 ndio dereva
Next time jifunze kuchanganua kabla haujaandika chochote hapa Jf...Ndio ipate ajali saa saba usiku??? Kuweni serious kidogo. Itakuwa ni frester inayotoka bukoba kwenda Daresalam
Tusiwatupie watu wengine lawama zisizo na msingi.Ajali nyingi zinasababishwa na yafuatayo.
1. Kutokuzingatia sheria za usalama barabarani.
2. Ubovu wa vyombo vya usafiri.
3. Kukithiri kwa Rushwa. Trafiki yupo tayari kupokea buku 2 na kuruhusu gari bovu kuendelea na safari matokeo yake ndio haya.
Hizi ajali hazijaruhusuwa na Mungu bali ni matokeo ya uongozi dhaifu usiowajibikia vya kutosha kuzizuia kwa kupitia miondombinu na usimamizi imara.
Usiwe na haraka kama ya kwanza. umeambiwa ajali imetokea saa saba usiku.Kibaigwa ni nyumbani hivyo ule mji naufahamu vizuri. ukiwa unaelekea Morogoro basi mji huu upo karibu na mpaka kati ya Dom na morogoro yaani unatoka kibaigwa unaingia pandambili halafu gairo[morogoro]
Sasa kwa ishu ya Gari la kutoka kahama kuja Dar kawaida huwa yanapita kibaigwa jioni kuanzia majira ya saa 10 na kuendelea lakini kama hilo basi limepita sasahivi asubuhi basi huenda lili lala njiani au walitembea usiku na kwamba walichelewa kutoka kahama.,ingawa binafsi sijawahi kuona gari likitoka kahama au mwanza au bariadi kuja Dar na halafu likapita Kibaigwa asubuhi.