Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Iko shida kubwa kwenye jamii haya mambo tusiyachkulie poa ,Mungu tusaidie haya mambo yasiwepo kwenye hii jamii ya watanzania
 
Ilaumiwe CCM milele. Haya yote yanasababishwa na ugumu wa maisha watu wanachanganyikiwa sana na maisha magumu huku maccm yakifanya ufisadi tu
 
Aisee!

Kama migogoro imezidi ndani ya ndoa jipeni mapumziko.

Kila mtu aende kwao, si kila mtu ana kwao??
 
Kwa kweli tunaonesha udhaifu mkubwa sana

Watu kama mapenzi yameisha, vyema kuachana kwa amani kuliko kuuana kama hivyo

Kuna haja tubadirike Wanaume, haya mambo ya kuuana, tunawatesa watoto

Maana Mama amekufa, na Baba atafungwa jela maisha

Then watoto wanabaki wapweke
 
Extended Family Nyingi Hazina Matukio Haya, Shida Ni Hizi Nyumba Za Kukaa Watatu, au wawili.
Fatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…