KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Imetosha sasa.....
nashukuru Mungu kasafiri🤣🤣🤣🤣🤣Dear usijaribu kugombana na shem kwa wakati huu. Huu wakati sio kabisa.
Mabadiliko ya kijamii; mitazamo inabadilika.Dear usijaribu kugombana na shem kwa wakati huu. Huu wakati sio kabisa.
uko poa??Dear usijaribu kugombana na shem kwa wakati huu. Huu wakati sio kabisa.
Yaan kuna upepo mbaya unapita kwenye mahusiano na ndoa za watu. Wakati huu.nashukuru Mungu kasafiri🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaume wapimwe afya ya akiliWachungaji, Mapadri, Masheikh na Waganga wafanye matambiko ya kitaifa
Ni ujinga mkubwa sana,naomba katika hili wadada muungane mpaze sauti,kemeeni huu ujingaBora uwaambie, maana wanaona sifa na ufahari, haya mauaji. Lol
Niko poa mie.uko poa??
kuwa makini hukoNiko poa mie.
Wakati wanaume wenzio wanaona ni sifa na ushujaa kuua wake au wachumba zao.Ni ujinga mkubwa sana,naomba katika hili wadada muungane mpaze sauti,kemeeni huu ujinga
Mie wangu hayupo nchini, ana week ya 2 sasa.kuwa makini huko
awa jamaa kama wamevurugwa sasa hivi
Ndio iwe kwenye Mauaji??Mabadiliko ya kijamii; mitazamo inabadilika.
Tutafanyia kazi ushauri wakoWakati wanaume wenzio wanaona ni sifa na ushujaa kuua wake au wachumba zao.
Anzeni nyie wanaume mnaojitambua kuwarekebisha hao wenzenu.
Na iwe hivyo.Tutafanyia kazi ushauri wako