Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Wafe tu.Wewe huna huzuni ? Kwenu hayupo Mbunge wa kuonewa huruma ? Sababu familia zingine Kiongozi mkubwa kabisa ni mwenyeki wa mtaa tena vijijini.
KIFO NI KIFO TU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafe tu.Wewe huna huzuni ? Kwenu hayupo Mbunge wa kuonewa huruma ? Sababu familia zingine Kiongozi mkubwa kabisa ni mwenyeki wa mtaa tena vijijini.
Uncle MaguNani aliwachagua hao?
Yaani basi ilipuke moto kabisaa?Naona watanzania wengi wamependa hii ajali nahisi wengi walitamani yatokee maafa zaidi
dereva boya sanaHAJAKUFA HATA MMOJA NA MICHUBUKO TU KIDOGO YAANI WOTE WAKO NA AFYA NJEMA
Kisomo kilisomwa lini?Kisomo Cha Tanga 🐼
Ilitakiwa saa hizi zinapigwa nyimbo za maombolezo.Unamaanisha angeingia nalo mtoni au!
Ndege pia hupata ajali mkuuMaoni yangu, ningetamani kuona wanatumia ndege Kuliko mabasi!!!
Wapelekwe India kwa matibabu.kifo ni kifo tu hata huko duniani mambo kama hayo yanatokea
watanzania tusifike huku ndugu zanguYangekukufa tu,utasikia tunamshukuru mama.
Dah, kwa mwendo huu ikitokea adui akatoka nje akaingia nchini kupambana na watawala, adui atashangaa anapewa sapoti kubwa mno na wananchi. Watawala dhalimu wameua uzalendo mioyoni mwa majority ya ummaHawa jamaa hawastahili kuishi. Mungu ani samehe lakini wange left inge kuwa bkra zaidi. Ccm ime tufanya sisi ni wajinga na wao ndio wanao stahili kutawala na kufaidi hii nchi. Acha chuki iwe ya dhahiri
Wana siasa hawaaminiki usikute wanaigiza.Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hao hata wangekufa wote sawa tu maana hawana faida yoyote kazi yao kukenua na kupiga sarakasi tu juu ya meza.Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Very rare caseNdege pia hupata ajali mkuu