Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Kwa muonekano wa hii ajali (bus imekula mbele kwa dereva na lorry nyuma upande wa dereva pia) hapo nashindwa kuimagine scenario ilikuwaje.

Yani imagination inaniambia dereva wa bus alitaka kuanza ku overtake gari iliyokuwa mbele yake huku lorry likitokea upande wa tofauti na bus lake ila akakosea makadirio akajikuta ameshatoa chuma sekunde kadhaa kabla hajapishana kabisa na lorry ndio maana ameligonga kwa sehemu ya nyuma upande wa kulia (angalia mpact inaonekana lorry limepigwa kuelekea nyuma ndio maana hata mlango umejikunywa kurudi nyuma) na yeye dereva bus lake likapata majeraha upande wake wa kulia. Sioni explanation ya tofauti hapo na mwendo kasi lazima ndio chanzo.

Wataalamu wa barabarani hebu nirekebisheni.
Hili neno "kugongana" limetumika vibaya sana.

Ilitakiwa isomeke "bus walilopanda wabunge lapata ajali baada ya kugonga lory"
 
Watu wamechoka hizo 99% zilitoka wapi?
IMG-20241206-WA0051.jpg
 
Back
Top Bottom