antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ni kweli, ila kwa hawa waungaji mkono wa utekaji na mauaji ya raia na wizi wa kura, KARMA itafanya kazi kokoteVery rare case
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ila kwa hawa waungaji mkono wa utekaji na mauaji ya raia na wizi wa kura, KARMA itafanya kazi kokoteVery rare case
Kinyungu ni Mnyalu?Kinyungu
Migagi ipo?
Hili neno "kugongana" limetumika vibaya sana.Kwa muonekano wa hii ajali (bus imekula mbele kwa dereva na lorry nyuma upande wa dereva pia) hapo nashindwa kuimagine scenario ilikuwaje.
Yani imagination inaniambia dereva wa bus alitaka kuanza ku overtake gari iliyokuwa mbele yake huku lorry likitokea upande wa tofauti na bus lake ila akakosea makadirio akajikuta ameshatoa chuma sekunde kadhaa kabla hajapishana kabisa na lorry ndio maana ameligonga kwa sehemu ya nyuma upande wa kulia (angalia mpact inaonekana lorry limepigwa kuelekea nyuma ndio maana hata mlango umejikunywa kurudi nyuma) na yeye dereva bus lake likapata majeraha upande wake wa kulia. Sioni explanation ya tofauti hapo na mwendo kasi lazima ndio chanzo.
Wataalamu wa barabarani hebu nirekebisheni.
dua la kuku kwa mwewe bana, hua ni vichekesho sana dah 🐒Watu wamechoka hizo 99% zilitoka wapi?
View attachment 3170716
HahahahaaaaView attachment 3170723hali ni mbaya, watu wanachuki saaana
Mi namuonea huruma mwenye gari tu hao wengine hata sitaki kujua kilichowakuta.dua la kuku kwa mwewe bana, hua ni vichekesho sana dah 🐒