Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Wangekufa wote tu, mashenzi haya kazi kupitisha kila hoja hata kandamizi kwa raia wa kawaida, hata isiyo na maslahi kwa taifa,
Hao wabunge hawakupiga tozo za Mwingulu, Dp World hawakusimama na raia,
Lini wamepiga kelele kuhusu raia kutekwa, kuteswa na kuuawa?
Hao hao walipitisha sheria za TISS hivi karibuni.
Bunge hili badala ya kuisimamia serikali wamegeuka kuwa chawa,
Ningekuwa malaika wa kukusanya roho za wanadamu ningewatoa wote roho zao na kuzipeleka zinakostahili.
 
Hawa jamaa hawastahili kuishi. Mungu ani samehe lakini wange left inge kuwa bkra zaidi. Ccm ime tufanya sisi ni wajinga na wao ndio wanao stahili kutawala na kufaidi hii nchi. Acha chuki iwe ya dhahiri
Dah, kwa mwendo huu ikitokea adui akatoka nje akaingia nchini kupambana na watawala, adui atashangaa anapewa sapoti kubwa mno na wananchi. Watawala dhalimu wameua uzalendo mioyoni mwa majority ya umma
 
Wana siasa hawaaminiki usikute wanaigiza.
 
Hao hata wangekufa wote sawa tu maana hawana faida yoyote kazi yao kukenua na kupiga sarakasi tu juu ya meza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…