Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Walitaliwa wade wote kwajinsi wanavyofanya
 
Kuna tofauti kati ya kiongozi na raia wa kawaida
 
Kama taifa tupo kwenye peak moja ya chuki kali sana na CCM wakiwa smart watajifunza kitu.

Yaani uzi una viewers 1K na post 82 lakini hakuna hata mmoja ktk walioupitia aliyeweka emoji ya “masikitiko” hii ni hatari sana.
 

Attachments

  • IMG_20241206_112015.jpg
    206.4 KB · Views: 2
Kuna tofauti kati ya kiongozi na raia wa kawaida
Na ndio maana mambo yanakwenda ndivyo sivyo Kiongozi wa Kiserikali ni Mtumishi na Raia ndio Kiongozi sababu ndio anawalipa pesa hivyo what is good for huyu bosi (raia) must be good for mtumishi (kiongozi serikalini) After all hayo madikodiko wanayotumia pesa zinatoka kwenye matumizi na kama katika matumizi hawaweza kuleta Sera za watu kupata angalau basic needs hawawezi waka justify luxuries za aina yoyote kwao.... (Kumbuka hizo pesa sio zao ni za Raia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…