Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
Mbowe ameamsha Hali ya kuidai Tanganyika

Ipo siku Mbowe ataungwa mkono na CCM wenyewe , kiufupi hatupendi kuongozwa na Wazanzibar huo ndio ukweli

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Kabisaa yaaan...
 
Sasa shida nini mkuu? Nisaidie kuniambia nini changamoto au unafuata mkumbo tu?
Pitia post zangu tangu kipindi cha mwendazake ndo utatambua 47 mbatizaji ni nani katika ulimwengu wa Kiroho siwezi fuata mkumbo na haitatokea ,tatizo mnaangalia aya mambo kwa jicho moja wajomba, kama yule Mbunge msukuma anaekuja na viclip vya kuonesha apartment ,ndo nyie

Mfano uyo msukuma aliemwambia mtu akiwa na pesa haongeki nani?

Linapo kuja swala gum kama hili hapaitaji mzaa
 
Hakuna lolote lile uongo mtupu, Wapi tumesema mnagawiwa bahasha? Unajikuna nakujiwasha mwenyewe kutafuta uaminifu Kwa nguvu kumbe matapeli wahuni watupu, huyu spika hazimo kichwani
 
Kabisaa yaaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…