Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kumbe mkataba unaweza kuvunjwa kama hakutakua na maelewano ya kiutekelezaji
Hakuna kitu kama hicho hata mbarawa kasema wazi kuwa kama watakuwa makini kulingana na ibara ya 23 wanaweza pata mwanya huo lakini ukienda kusoma hiyo ibara unagundua mkataba hauvunjwi
 
Manufaa


Kupunguza muda wa Meli kukaa Nangani kutoka Siku 5 hadi Siku 1

Muda wa kushusha Makasha utakuwa siku 2

Gharama za kusafirisha kupungua

Gharama za usafirishaji utatoka dollar 12,000 hadi 6000

Kuongezeka kwa Tani za mizigo

Kuongezeka kwa mapato kutoka Tril 7 hadi 29


7 to 29 t? Day light uongo
 
Ngoja MOU itoke bungeni ndio tukae tuone Serikali itapata fedha kiasi gani na Bandari itaboreshwa na kuendelezwa kwa kwa kiwango gani na muda wa mkataba utakuwa ni miaka mingapi

Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji mizigo itakuwa ni mingi na ajira zitaingia sokoni.
Hayo ni mambo ya kufikirika tu hakuna hata uwekezaji mmoja uliowahi kuwa na tija.

Sijui mapato , ajira nini na nini hizo ni kauli za kilaghai tu wanaonufaika ni wanasiasa na hiyo kampuni zaidi ya hapo hakuna faida kwa mtu wa kawaida.

Ugumu wa maisha uko pale pale.

Tatizo la nchi hii ni wanasiasa tu.

Thats all
 
DP world ndio kampuni pekee yenye uzoefu katika uwekezaji wa Bandari, imewekeza katika nchi 6 ktk bara la Afrika na pia katika Bara la ulaya.

hii ni vita kati ya Makampuni mengine yaliyo kosa nfasi ya kuwekeza katik bandari yetu dhidi ya DP World.

tuwe makini tusicheze ngoma tusio ijua.
DP world ndio kampuni sahihi katika uwekezaji wa Bandari yetu.
Unauhakika wewe unacheza ngoma unayoijua? Hao DP World huko walikowekeza umefatilia ukaona mambo ni all rose! Huko Ulaya unakosema unataarifa zao sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa ni washenzi sana, yani wanasema wazi kama serikali ikipata upenyo wa kuvunja mkataba, maana yake wanakiri wameshajifunga!.
Tena wamesema mpaka serikali ikiwa makini makini ndio inaweza pata huo upenyo
 
Hili lishangazi linaloongea saizi lipo vizuri sana. Ukilipata hili unalipiga deki mpaka likuhonge na ubunge wenyewe kudadeki.
 
Mbowe ana hoja....kumteua mzanzibari kwenye wizara zisizo za muungano kunazua hoja......
Alianza Nyerere huo utamaduni.

Hakuna sheria inayokataza. Mzanzibari pia ni Mtanzania sawa na Mtanzania mwengine.

Tuache ubaguzi, tupinge kuwabagua wengine na tupinge kubaguliwa.
 
Back
Top Bottom