Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA nini walikirupukaHakuna kitu kama hicho hata mbarawa kasema wazi kuwa kama watakuwa makini kulingana na ibara ya 23 wanaweza pata mwanya huo lakini ukienda kusoma hiyo ibara unagundua mkataba hauvunjwi
dah naona kuna mtu ametoa issue ya bahasha humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulitegemea ukwame ?....Yaani Ccm waikwamishe Ccm ?
Hii ya bahasha imeshakuwa justification kuwa wanapokea rushwa , Je hiyo bahasha tutajuaje kama Kuna barua pekee ?Kwani Hiyo NGO haiwezi kutumika Kugawa pesa???? Mbona kakataaa isisomweeee????
Nani hajui kuwa wabunge kwenye hili wamehongwaaa
mbususu zao zinakuaga nyekundu hawa.Chuma icho cha kienyeji kinaongea [emoji39][emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna lolote lile uongo mtupu, Wapi tumesema mnagawiwa bahasha? Unajikuna nakujiwasha mwenyewe kutafuta uaminifu Kwa nguvu kumbe matapeli wahuni watupu, huyu spika hazimo kichwani
Wanatufatilia hukodah naona kuna mtu ametoa issue ya bahasha humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli issue iko hot mno
Zitto pia anataka Katiba mpya ambao hawataki ni CCM.Mkisusa ACT anachukua sehemu yake.
Afadhalikuna wabunge tupo nao humu ID zao nazijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kuna mtu anatoa rushw kichw kichw namna hiyo kibahasha AweeeeeeHii ya bahasha imeshakuwa justification kuwa wanapokea rushwa , Je hiyo bahasha tutajuaje kama Kuna barua pekee ?
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
watajekuna wabunge tupo nao humu ID zao nazijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni mimi je [emoji23]wataje
Wabunge Vimeo ni hasara kwa taifaKwani Hiyo NGO haiwezi kutumika Kugawa pesa???? Mbona kakataaa isisomweeee????
Nani hajui kuwa wabunge kwenye hili wamehongwaaa