Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
 
Nikiona watu wana sindanisha miji kwa hasira na nguvu zote natamani niwa chape viboko
 
Kama suala ni population, basi Tanzania tumewazidi na Denmark kwa mbali sana, zaidi ya mara kumi.
 
Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi😀😀
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi😀😀
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
 
Uwe unasema Arusha imezidi Dodoma Kwa kipi hasa? View attachment 2685494
Arusha inaizidi Dodoma kwa mengi sana:
1. Kipato
2. Hali ya hewa nzuri
3. Mandhari ya kuvutia
4. Wingi wa mabilionea
5. Hoteli za kifahari. Inafahamika kuwa Dar ndilo jiji linaloongoza kwa kuwa na mahoteli mengi ya Five Star Tanzania, likifuatiwa na Arusha .
6. Watafutaji wenye bidii
7. Watu wenye "akili" nzuri.
 
Ukweli ni kuwa Mwanza pako busy mwaka mzima, huwezi palinganisha na Dodoma.
 
Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
hujui idadi ya watu Dodoma Jiji kwa mujibu wa sensa ya mwaka jana
angalia hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20230712-155756.jpg
    83.3 KB · Views: 30
Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
😀😀Jangwani alafu ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama,Uwele,Rosella bila kusahau soko la kimataifa la nafaka Kibaigwa pamoja na vihenge/maghala makubwa kupita yote Afrika Mashariki na kati ya kuhifadhia mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na WFP/FAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…