The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
-
- #101
Toka investments za Serikali xinaze wametumia chini ya Tilioni 5 na Bado zaidi ya Til.5 zingine Ili ujenzi wa Mji wote wa Serikali ukamilikeImeanza ku-take off tayari.
Nani asiyofahamu mazao hayo yote yanastawi kwenye hali ya ujangwa?[emoji3][emoji3]Jangwani alafu ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama,Uwele,Rosella bila kusahau soko la kimataifa la nafaka Kibaigwa pamoja na vihenge/maghala makubwa kupita yote Afrika Mashariki na kati ya kuhifadhia mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na WFP/FAO
Huo mtandao mpana wa barabara ni upi mbona sisi hatuooni[emoji23]Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi[emoji3][emoji3]
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi[emoji3][emoji3]
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
Ungezea mwanza inaizid arusha mpaka uchumi [emoji3]Kuna battle hata hazinogi, Dom haiko level za Arusha kwa mbali sana. Arusha inapitwa na Dar tu! Mwanza inaipita Arusha population lakini Arusha inabakia jiji la kijanja na linalovutia kwa majengo, starehe na usasa.
Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo 'idea' ya Arusha...Kwani wapi nimesema naijua vizuri? Kwanza sihitaji kujua Kila pande ya Mji.
Mfano wewe unaijua Mbeya yote?
Sakina Mataa ndio wapi...?! unaongelea Muziki wa Fido Vato na Chui (Rayvanny)...?!Ila sasa hivi Arachuga yetu imechakaa sana. Vijana pale Sakina Mataa wanakula Shisha na Nyagi kwa kwenda mbele baa ya Boss. Dodoma sasa hivi inakimbiza sana. Baada ya miaka 10 ijayo itakuwa habari ya mjini.
Mziki mpya kuhusu Arachuga umeusikia? Kautafute fasta.
Starehe zipi...?! Ujanja upi...?! Mwanza naijua ni balaa... na Arusha naijua yote Wilaya zote...Kuna battle hata hazinogi, Dom haiko level za Arusha kwa mbali sana. Arusha inapitwa na Dar tu! Mwanza inaipita Arusha population lakini Arusha inabakia jiji la kijanja na linalovutia kwa majengo, starehe na usasa.
Haya miaka ya badae yatakuwa magofu..hivi unadhani ukiacha na shughuli za kiserikali nani anataka Aishi Dodoma?Things Arusha will dream off
😀utakua una makengeza labda .....Dodoma ukwame wapi kilakona barabara za lamiHuo mtandao mpana wa barabara ni upi mbona sisi hatuooni[emoji23]
😀😀na hii ni another advantage Dodoma iliyokua nayo kulinganisha na majiji mengine yote ukitoa Dar pekee.Serikali itaendelea kuwekeza na kupendelea jiji la Dodoma utake usitake.Makao makuu ya nchi,Jiji yanapofanyika maamuzi yote makubwa ya kitaifa na kisiasa haliwezi kuwa sawa na wengine.Mfano mzuri angalia Abuja,Nigeria wakati Abuja inatangazwa kuwa makao makuu ya Serikali ilikua inapitwa kwa mbali sana na Lagos,Jos,Ibadan,Port Harcourt na miji mingine ila kwa sasa baada ya uwekezaji wa Serikali Abuja inapitwa na Lagos pekee yakeHaya miaka ya badae yatakuwa magofu..hivi unadhani ukiacha na shughuli za kiserikali nani anataka Aishi Dodoma?
Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo 'idea' ya Arusha...
Dodoma napafahamu, Arusha ndio balaa kuanzia Arusha CC, Arumeru, Monduli, Longido, Karatu mpaka Loliondo (Ngorongoro) hizo wilaya zote za Arusha hauwezi linganisha na za Dodoma kama Bahi, Kongwa, Mpwampwa na nduguze...
Arusha ipo mbele zaidi ya Dodoma... upande wa CBD hata Wilayani...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
naomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.
Unasema Arusha CBD imeizidi Dodoma CBD kwa kipi labda....ebu tupe factors halisi kwamfano miundombinu,mipango miji n.k
1.Hoteli Dodoma- Bestern Western City Hotel,Morena,St Gaspar,Royal Village,Dodoma Hotel,Nashera,Rafiki Hotel n.knaomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hizo hotel ulizotaja ni nyota tano...?! kama ni bora hotel Arusha zipo nyingi...1.Hoteli Dodoma- Bestern Western City Hotel,Morena,St Gaspar,Royal Village,Dodoma Hotel,Nashera,Rafiki Hotel n.k
2.Kumbi za mikutano-PSSSF Kambarage Tower,St Gaspar Conference Centre,African Dreams,Mabeyo Complex n.k
3.Makazi mazuri- Dodoma ndio Jiji pekee East Africa lililopangiliwa makazi bora na mipango miji.Ukitoa mitaa michache ya uswazi kama Chang'ombe,Chadulu ,Kizota na Mkalama kwengine kote ni ushuani kila nyumba geti na fensi
4.Mapato TRA Dodoma ndio inaongoza inapitwa na Dar pekee angalia link apo chini