Sio kweli unadanganya tu
-Hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha...miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba Dodoma kunabaridi kali kama Arusha vile miezi mingine hali ya hewa ni moderate yaani sio joto wala sio baridi.
-Kitu pekee ambacho Arusha inazidi Dom ni uwekezaji katika sekta ya utalii.Arusha kuna Hoteli+conference centers nyingi kuliko Dodoma hilo halina ubishi.Arusha kuna maghorofa mengi kuzidi Dom(japo kwa Dom ujenzi unaoendelea sasa wa maghorofa ya taasisi,serikali na watu binafsi baada ya miaka mitano mbele Dom itakua Jiji la pili baada ya Dar kwa uwingi wa Majengo ya ghorofa)
-Kwenye sekta ya utalii Dom inahitaji nguvu ya ziada manake utalii Dodoma ni kama haupo kabisa japo Dodoma imezungukwa na mbuga za wanyama za karibu kama vile SwagaSwaga,Chenene,Mapori ya Itigi,Mikumi n.k