Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

[emoji3][emoji3][emoji3]unachekesha sana eti mitaa haina barabara.Kuna Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma Tanzania hii.Mwanza ndio kwenye vumbi na vichochoro visivyopangiliwa.
Kamwe usijaribu kulinganisha Dodoma na miji mingine kwenye kigezo cha mipango miji na ubora wa miundombinu.Master plan ya Jiji la Dodoma sio level ya nchi hii ni next level
Iko wapi hyo mipango miji..mbona on ground ni hovyo tu ...
 
Kati ya Arusha Jiji na Dodoma Jiji ni Jiji lipi lenye barabara za vumbi[emoji3][emoji3][emoji3]. Dodoma ukwame wapi kila mtaa lami tupu.Hali ya hewa ya Dodoma kuanzia mwezi Mei hadi Agosti ni sawa sawa kabisa na hali ya hewa ya baridi Arusha
Nionyeshe lami kwenye huu mtaa[emoji116]
 
Iko wapi hyo mipango miji..mbona on ground ni hovyo tu ...
Endelea kufurahisha genge.Mwanza kijiji kikubwa cha wavuvi usijaribu kamwe kujilinganisha na ubora wa mipango miji Dom.Dodoma nyumba zimejengwa zimepangiliwa(kuna kipindi nilipita nikaona hadi mapaa ya nyumba za mtaani yanatakiwa kuwa ya rangi moja kama vile upo South Africa)makazi bora yanafikika hata ikitokea ajali ya moto zimamoto fasta hao wanakuja ila Mwanza na vichochoro vyake sasa😀😀😀.Master plan ya Dom ni next level
 
Endelea kufurahisha genge.Mwanza kijiji kikubwa cha wavuvi usijaribu kamwe kujilinganisha na ubora wa mipango miji Dom.Dodoma nyumba zimejengwa zimepangiliwa(kuna kipindi nilipita nikaona hadi mapaa ya nyumba za mtaani yanatakiwa kuwa ya rangi moja kama vile upo South Africa)makazi bora yanafikika hata ikitokea ajali ya moto zimamoto fasta hao wanakuja ila Mwanza na vichochoro vyake sasa[emoji3][emoji3][emoji3].Master plan ya Dom ni next level
Wapi hapo mapaa ya nyumba ni rangi Moja ...kawadanganye wajinga
Kisasa dodoma naona masufuria tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]
 
Wapi hapo mapaa ya nyumba ni rangi Moja ...kawadanganye wajinga
Kisasa dodoma naona masufuria tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]

Endelea kujifariji tu nilishakwambia unaweza kuokoteza vitu vingine vya Mwanza kujilinganisha na Dom lakini sio eneo la mipango miji na miundombinu.Dodoma inayatoa knock out majiji ya East Africa kwa master plan ya kisasa kawaulize Abuja walikuja kuicopy
 
Attachments

Wapi hapo mapaa ya nyumba ni rangi Moja ...kawadanganye wajinga
Kisasa dodoma naona masufuria tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]

Dom Safi hakuna matakataka kama ya Mwanza ujue
images (1).jpg
IMG_20230630_143650_010.jpg
 
Mbona kama kukame Sana na kuna vumbi Sana naona kuna haja ya kupanda Sana miti la sivyo Mafua na kikohozi vitawathiri Sana wakazi wa huo mji
😀😀😀Tukuyu mvua inanyesha mwakamzima lakini mji haujaendelea.Hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji kawaulize Cairo,Gaborone,Windhoek au Tel Aviv kama mnalingana 😆😆😆😆
 
Arusha kwa bata Mwanza inaachwa mbali. Nikipata mchongo alafu w'end inikute Arusha huwa najua balaa lake kulinganisha na Mwanza.

Arusha watu wengi wana exposure kulinganisha na miji mingi sababu ya utalii.
Nimekuuliza bata lipi...?! hujanijibu au la Picnic, The Hub, The Pillars, Mount Point au bata gani...?! Uzuri Arusha naijua Mwanza naijua...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Arusha inaizidi Dodoma kwa mengi sana:
1. Kipato
2. Hali ya hewa nzuri
3. Mandhari ya kuvutia
4. Wingi wa mabilionea
5. Hoteli za kifahari. Inafahamika kuwa Dar ndilo jiji linaloongoza kwa kuwa na mahoteli mengi ya Five Star Tanzania, likifuatiwa na Arusha .
6. Watafutaji wenye bidii
7. Watu wenye "akili" nzuri.
Umemaliza na wanaojenga na kuwekeza dodoma wametoka dar ,wazawa wapo wachache
 
Hii ndo dodoma wanayosema inajengwa Kwa mpangilio.. mitaa haina barabara,,vumbi Kila sehemu,,mfumo wa ujenzi hauko organized Kila mmoja anajijengea apendavyo .....
Na hapa ndio kisasa mtaa wa mabwanyenye [emoji28][emoji28][emoji28].... dodoma bado Ina safari kubwa sana kuipata mwanza... kisasa ipambane na Usagara misungwi kwanza [emoji28]
Sasa Cha ajabu angalia hilo vumbi na jangwa jamani utasema tuko kandahar
 
Endelea kujifariji tu nilishakwambia unaweza kuokoteza vitu vingine vya Mwanza kujilinganisha na Dom lakini sio eneo la mipango miji na miundombinu.Dodoma inayatoa knock out majiji ya East Africa kwa master plan ya kisasa kawaulize Abuja walikuja kuicopy
Kwa master plan nchi hii Kuna mkoa au jiji lililopangika kama Tanga?! Ushawah fika Tanga we mgogo
 
Arusha inaizidi Dodoma kwa mengi sana:
1. Kipato
2. Hali ya hewa nzuri
3. Mandhari ya kuvutia
4. Wingi wa mabilionea
5. Hoteli za kifahari. Inafahamika kuwa Dar ndilo jiji linaloongoza kwa kuwa na mahoteli mengi ya Five Star Tanzania, likifuatiwa na Arusha .
6. Watafutaji wenye bidii
7. Watu wenye "akili" nzuri.
Sio kweli unadanganya tu
-Hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha...miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba Dodoma kunabaridi kali kama Arusha vile miezi mingine hali ya hewa ni moderate yaani sio joto wala sio baridi.
-Kitu pekee ambacho Arusha inazidi Dom ni uwekezaji katika sekta ya utalii.Arusha kuna Hoteli+conference centers nyingi kuliko Dodoma hilo halina ubishi.Arusha kuna maghorofa mengi kuzidi Dom(japo kwa Dom ujenzi unaoendelea sasa wa maghorofa ya taasisi,serikali na watu binafsi baada ya miaka mitano mbele Dom itakua Jiji la pili baada ya Dar kwa uwingi wa Majengo ya ghorofa)
-Kwenye sekta ya utalii Dom inahitaji nguvu ya ziada manake utalii Dodoma ni kama haupo kabisa japo Dodoma imezungukwa na mbuga za wanyama za karibu kama vile SwagaSwaga,Chenene,Mapori ya Itigi,Mikumi n.k
 
Chanene ndo mbuga Gani hyo cheki [emoji15][emoji15]huyu naye [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom