Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio miaka mingi haitakuja kuwezekana 😄 labda kuringia hivyo vijengo vya serikali basDodoma kuipiku AR sio rahisi hata kdg na itachukua miaka mingi!
🚮🚮Huu uzi kila nikiusoma umekaa kinafki sana. Mwandishi hajawahii kufika Mwanza. Piga ua, Dar inaongoza, Mwanza inafata. Dodoma inaenda kuchukua nafasi ya Mwanza. Arusha ni jiji la nne kwa ukubwa. Full stop
Dom iipiku Arusha mara ngapi? 😆😆😆😆Dodoma kuipiku AR sio rahisi hata kdg na itachukua miaka mingi!
Ukisikia Kilimo ujue impenya hiyo 😆😆😆Sio miaka mingi haitakuja kuwezekana 😄 labda kuringia hivyo vijengo vya serikali bas
Ona mdudu huyu wa mbauda 😂😂😂😂Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.
Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
Too much stories with nothing on ground![]()
Construction of mega convention centre in Arusha on horizon - Daily News
ARUSHA: CONSTRUCTION of a state-of-the-art international convention centre, capable of hosting over 10,000 people at once, is expected…dailynews.co.tz
🚮🚮🚮Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.
Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
Si kweli. Mimi sipo upande wowote. Lakini Arusha Ime-promotiwa sana na Serikali.Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.
Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
Hao nyumbu wanajiongelesha Kwa maumivu baada ya kupitwa na Dom.Si kweli. Mimi sipo upande wowote. Lakini Arusha Ime-promotiwa sana na Serikali.
1. Serikali ndio iliyo pendekeza kuwa makao makuu ya EAC
2. Baadhi ya Mahakama za kimataifa zilipendekezwa na Serikali kuwa Arusha.
3.Makao makuu ya TANAPA sio taasisi binafsi
4. Kumbi za mikitano za AICC
5. Baadhi ya Majengo ya Serikali/mifuko ya pensions/ taasisi za kimataifa yapo mengi tu
Hivyo Majiji yote hapa mchini hasa
DAR, DOM & ARS, MZA yamekuwa kwa nguvu za Serikali (mbeleko)
Zaidi ya Kabwe kuna sehemu nyingine Mbeya😀😀😀😀😀😀Mm mbeya naijua kuliko ww mzee.
Hakuna chaka silijui kuanzia mbeya mjini,wilaya zake hadi vijiji vyake.
Ila we jamaa Bange zako siyo poua haki ya MunguToa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Umekosea sana na list yako ya kujitungia kichwani, List niToa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza