Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Huu uzi kila nikiusoma umekaa kinafki sana. Mwandishi hajawahii kufika Mwanza. Piga ua, Dar inaongoza, Mwanza inafata. Dodoma inaenda kuchukua nafasi ya Mwanza. Arusha ni jiji la nne kwa ukubwa. Full stop
🚮🚮
 
Sio miaka mingi haitakuja kuwezekana 😄 labda kuringia hivyo vijengo vya serikali bas
Ukisikia Kilimo ujue impenya hiyo 😆😆😆

Kwani Arusha inalingia majengo ya nani kama sio Serikali? Kuna Jengo lolote refu hapo Arusha sio la Serikali?

Mwisho Arusha ndio inafukuzia Dom, nothing Arusha inazidi Dom tofauti na mapori 🤪🤪

Arusha mkashindane na wachovu wenzenu kina Mwanza huko,Dom ni size ya Dar Kwa sasa 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DBa7ih_tYTa/?igsh=ZzBnNWk1aXZwOTZw
808C7E13-9DCC-4A6E-94D3-27604D924882.jpeg
D5008F94-33B6-49FF-B066-B36D171FE4E0.jpeg
 
Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.

Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
Ona mdudu huyu wa mbauda 😂😂😂😂

Arusha wamepambana wenyeyau siyo? Majengo yote marefu hapo Mjini ni hisani ya nani? Unatakiwa kujua kwamba Serikali ilianzaga kujenga Arusha na Dar kabla ya Dom,Sasa hivi ni zamu ya Dom na bad news Kwa Arusha ni kwamba Dom ni National HQ,Dom will trails Arusha forever 😁😁

-Anaedai Arusha ipo Juu kiuchumi hajui kwamba Dom City ni ya pili Kwa Mapato Tanzania nyuma ya Jiji la Dar
-Anaedai Arusha ipo Juu Kisiasa anajisahaulisha kwamba Ikulu na Makao ya Chama Tawala ni Dom 😂😂
-Anaedai Arusha ipo Juu kimiundombinu anajisahaulisha kwamba longest dual carriage ring road Tanzania nzima inapatikana Dom
-Anaedai Arusha Kuna population anajisahaulisha kwamba Dom ni Jiji la 3 Kwa idadi kubwa ya watu Tanznaia 😁
-Dom ingekuwa na mazingira ambayo sio liveable ingekuwa namba 3 Kwa Wingi wa watu Tanzania?

Si ajabu hata wenzako wamekupuuza maana imetoa Boko.

Arusha inazidi Dom misitu ya kufugia ngedere tuu nothing else 😂😂

Ukilewa mbege usiwe unaandika unatoa Boko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCOi9gnuAem/?igsh=Y2Y4cTl0dzJ6OGFq
 
Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.

Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
🚮🚮🚮

Arusha wamepambana wenyeyau 😆😆😆👇👇
20241123_133102.jpg
20240905_141205.jpg
 
Dodoma ni hisani ya serikali ila Arusha wamepambana wenyewe yaani maendeleo ya mtu mmoja mmoja ila Dodoma bila majengo ya serikali ni Kijiji kilichochangamka.

Kiuchumi Arusha ipo juu
Kisiasa Arusha ipo juu
Mazingira Bora Arusha ipo juu
Miundombinu Arusha ipo juu
Population Arusha ipo juu
Si kweli. Mimi sipo upande wowote. Lakini Arusha Ime-promotiwa sana na Serikali.
1. Serikali ndio iliyo pendekeza kuwa makao makuu ya EAC
2. Baadhi ya Mahakama za kimataifa zilipendekezwa na Serikali kuwa Arusha.
3.Makao makuu ya TANAPA sio taasisi binafsi
4. Kumbi za mikitano za AICC
5. Baadhi ya Majengo ya Serikali/mifuko ya pensions/ taasisi za kimataifa yapo mengi tu

Hivyo Majiji yote hapa mchini hasa
DAR, DOM & ARS, MZA yamekuwa kwa nguvu za Serikali (mbeleko)
 
Si kweli. Mimi sipo upande wowote. Lakini Arusha Ime-promotiwa sana na Serikali.
1. Serikali ndio iliyo pendekeza kuwa makao makuu ya EAC
2. Baadhi ya Mahakama za kimataifa zilipendekezwa na Serikali kuwa Arusha.
3.Makao makuu ya TANAPA sio taasisi binafsi
4. Kumbi za mikitano za AICC
5. Baadhi ya Majengo ya Serikali/mifuko ya pensions/ taasisi za kimataifa yapo mengi tu

Hivyo Majiji yote hapa mchini hasa
DAR, DOM & ARS, MZA yamekuwa kwa nguvu za Serikali (mbeleko)
Hao nyumbu wanajiongelesha Kwa maumivu baada ya kupitwa na Dom.

Walitarajia wao pekee ndio wawepo kwenye mbeleko ya Serikali ila tangu Dom kuwa HQ imewakata 😆🤣.

Hakuna Mji unaweza kuendelea wenyewe bila Serikali Kwa Bongo hii,hata Dar hakuna Jengo refu kuliko majengo ya seeing ambayo ndio yanaipamba Dar.

Wivu Kwa Dom unawatafuna 😄😄
 
Toa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Umekosea sana na list yako ya kujitungia kichwani, List ni
1.Dar
2.Arusha
3.Zanzibar
4. Dom
5.Mwanza
6.Mbeya
Arusha na zanzibar ni miji ya utalii kwa siku nyingi imejiimarisha katika kodi na mchango wake kwa taifa, dodoma kuwa makao makuu imeifanya mwanza kupoteza hadhi yake ya kuwa mji wa pili kwa umuhimu hasa kwa matukio au miradi ya kiserikali kama dodoma ikiendelea hivi mbeleni itaishusha arusha na zanzibar kama utalii utadorora angalau miaka itachukua miaka 20 hadi 30 lakini kama utalii utaimarika ni ngumu kwa dodoma kuifikia arusha au zanzibar, wingi wa watu umeifanya mwanza kuipiku mbeya na kukaa namba 6 lakini pia ukuwaji wa miji ya kibiashara kama geita katoro na kahama kumeipunguzia umuhimu mwanza uliokua nao
NB: Kujengwa majengo mengi na miundombinu kwa muda mfupi imefanya watu wengi wa dodoma kuhisi wameshafika level za arusha au zanzibar 😄 hizo ni ndoto za abunuasi
Kama mwanza imekua mji wa pili kwa watu wengi tangu miaka ya 70 lakini bado inakalishwa na arusha mapato mara 2 itakuwaje kwa dodoma hii amayo licha ya kuwa makao makuu bado asilimia 90 ya mikutano inafanyika arusha🤣 dodoma ni kama box 📦 kubwa tupu mnachotakiwa kujivunia ni angalau mmeipita mwanza
 
Back
Top Bottom