PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.

No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.

Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.

 
Aise nilikuwa hapo, ilinibidi niache wapite kwanza maana nilihisi watu watakula mabomu ya machozi ikabidi niwe nyuma kama mita 200 hivi. Heche akasimamishwa pale Nyerere square kwa lazima na raia, polisi wakaja kwa wingi aloooo dreva akaforce tu kumove on.

Raia walikuwa wakiimba eti Wanamtaka Lissu nimebubujikwa na machozi ya furaha 🤣🤣 Kuona dodoma wametoka kwenye usingizi wa pono.
 
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.

No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.

Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.

View attachment 3361168
Wangeandamana kwenda kumchomoa Lissu gerezani ningeliwaelewa.
 
Hiki ndicho kilichotokea kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ambapo vijana wanasindikiza msafara wa Heche kwa wingi huku wakiimba: "CCM wauaji."

Huu ni ujumbe mzito kwa CCM na wanapaswa kujua hii ni ishaara tosha kuwa watanzania wengi wana mtazamo huo na sasa watu wanaanza kuonyesha hisia zao hadharani.

Nchi hii kuna jambo linakuja siku si nyingi

Muda utaongea.
 
IMG-20250608-WA0100.jpg
IMG-20250608-WA0076.jpg
IMG-20250608-WA0078.jpg
IMG-20250608-WA0084.jpg


Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipopokelewa na kuhutubia mkutano wa hadhara jijini Dodoma leo Juni 8, 2025.
 
Back
Top Bottom