Duh! Ni hatari
Duh! Ni hatari
Lini hiyo na Sehemu Gani Dodoma?Hiki ndicho kilichotokea kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ambapo vijana wanasindikiza msafara wa Heche kwa wingi huku wakiimba: "CCM wauaji."
Huu ni ujumbe mzito kwa CCM na wanapaswa kujua hii ni ishaara tosha kuwa watanzania wengi wana mtazamo huo na sasa watu wanaanza kuonyesha hisia zao hadharani.
Nchi hii kuna jambo linakuja siku si nyingi
Muda utaongea.
Usisahau wamang'ati!Ukiona mgogo na masai wameanza kuichukia CCM ujue Hali siyo nzuri
Hakuna wauaji nchi hii kama CCM. Uzuri vijana wa Dodoma wanashinda na wana CCM kwenye pubs na bar kila siku hivyo wanawasikiaga wanavyoongea.Hiki ndicho kilichotokea kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ambapo vijana wanasindikiza msafara wa Heche kwa wingi huku wakiimba: "CCM wauaji."
Huu ni ujumbe mzito kwa CCM na wanapaswa kujua hii ni ishaara tosha kuwa watanzania wengi wana mtazamo huo na sasa watu wanaanza kuonyesha hisia zao hadharani.
Nchi hii kuna jambo linakuja siku si nyingi
Muda utaongea.
Bibi ni mwendo wa kuharisha tu!Kiuhalisia tukienda na ukweli kuna mahali watu hawalali kwa moto huu 😃
Uyu anayo nimesema mara nyingi hajawahi kanushaChawa Tlaatlaah anaipenda sana Chadema. Apewe kadi.
Atakuwa anakula ccm ila kura chadema.Uyu anayo nimesema mara nyingi hajawahi kanusha
Hatimaye amepatikana mtu mwingne wa kububujikwa na machozi baada ya Lucas Mwashambwa 😅😅😅Tanzania chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA.
Nimeangalia futuhi ya CHAUMA Mwanza nikabubujikwa na machozi mengi
Ile nyimbo iko bomba sana.Wangeimba ule wimbo wa Haiyaiya Chadema, ingependeza sana.
Anyways, siwaamulii la kufanya.
HeheheTanzania chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA.
Nimeangalia futuhi ya CHAUMA Mwanza nikabubujikwa na machozi mengi
Lissu is born in Heche's bodyView attachment 3361236View attachment 3361240View attachment 3361243View attachment 3361248
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipopokelewa na kuhutubia mkutano wa hadhara jijini Dodoma leo Juni 8, 2025.
NRNE