Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwani mvua bado zinanyesha?Watakua wanalima ubwabwa huko ifakara
Kwani mvua bado zinanyesha?Watakua wanalima ubwabwa huko ifakara
Wanalima kwenye vumbi kwa hiyo watavuna mavumbiKwani mvua bado zinanyesha?
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.
View attachment 3361168
Alipozomewa Gerson Msigwa, CHADEMA inashangiliwa kwa nguvu!Hii ni picha ya mjongeo ni ujumbe tosha kwa Watawala, na wanafikisha ujumbe kwa Watawala.
Tukio kama hili nilishawahi kuliona kwenye sinema ya Sarafina iliyochezwa Africa Kusini.
View attachment 3361886
Dogo haya mnayoyafanya ni "peanut". Mnajifurahisha tu, lakini mwisho wa siku, CCM na Serikali yake will remain unshaken. Tutoto tudogo kama ninyi mnajifurahisha mitandaoni na majina ya bandia tu.Naona nafsi inakuuma