Wangeandamana kwenda kumchomoa Lissu gerezani ningeliwaelewa.Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.
View attachment 3361168
Chauma wanajikongoja na ubwabwa waoTanzania chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA.
Nimeangalia futuhi ya CHAUMA Mwanza nikabubujikwa na machozi mengi
Ungetazama picha ya Rungwe upige magoti na kububujikwa na machoziTanzania chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA.
Nimeangalia futuhi ya CHAUMA Mwanza nikabubujikwa na machozi mengi
Watakua wanalima ubwabwa huko ifakaraNimeimis Chauma, leo wapo mkoa gani?