PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nasema hiviii, tanzania ya enzi zile imeanza kupotea, tutakuja kuwa na Tanzania mpya ambayo kila mwenye akili ataipinga ccm hadharani
 
Nyakati za Mungu zikifika Bwana, acha tu.
 
Tabia ya mwanadamu ni moja tu, uvumilivu ukimshinda lazima akuonenye vitendo hata ukimziba mdomo.

Acha inyeshe tuone matundu yanayovujisha maji
 
Kanda ya kati kama wameanza kuamka hivi ni balaa maana ndo wanakuwaga ngome ya CCM
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mdharau mwiba mguu huota tende. Mara shughulikia kenge za ndani na nje. Mara NRNE ni kampeni ya kipuuzi tu.

Ingekuwa busara kama wangekaa pamoja ili waone nini kinachowezekana kufanyika kwa muda uliobaki. Kwa hali ilivyo sasa, kushupaza shingo ni kukaribisha matatizo!
 
Iwapo Heche hatakemea kauli za namna hiyo ambazo zinaweza kuchochea chuki na uvunjifu wa amani, itashangaza iwapo vyombo vya dola vitaacha hali hiyo iendelee.
 
Hao watu mia hamsini na mbili, ndio mamia? Mtaacha lini uongo na uzushi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…