Kwa hali ilivyo sasa, kushupaza shingo ni kukaribisha matatizo!✌🏿📌💪🏿🔨Mdharau mwiba mguu huota tende. Mara shughulikia kenge za ndani na nje. Mara NENR ni kampeni ya kipuuzi tu.
Ingekuwa busara kama wangekaa pamoja ili waone nini kinachowezekana kufanyika kwa muda uliobaki. Kwa hali ilivyo sasa, kushupaza shingo ni kukaribisha matatizo!
Ni kweli pesa walizokula ni nyingi matokeo hafifuNi mpango wa CCM uliofeli,sidhani kama wataendelea kuwafadhili maana hawana mvuto kabisa
Noma sana aiseeeeDodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.
View attachment 3361168
Hakika wauaji hawa mwisho wao umefika.Hiki ndicho kilichotokea kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ambapo vijana wanasindikiza msafara wa Heche kwa wingi huku wakiimba: "CCM wauaji."
Huu ni ujumbe mzito kwa CCM na wanapaswa kujua hii ni ishaara tosha kuwa watanzania wengi wana mtazamo huo na sasa watu wanaanza kuonyesha hisia zao hadharani.
Nchi hii kuna jambo linakuja siku si nyingi
Muda utaongea.
Chawa kameze dawa zako upunguze maumivu.Hao watu mia hamsini na mbili, ndio mamia? Mtaacha lini uongo na uzushi?
Na hilo vibe lote ni la makamu mwenyekiti tu! Ndio maana wanamng'ang'ania mwenyekiti
Naona nafsi inakuumaWangeandamana kwenda kumchomoa Lissu gerezani ningeliwaelewa.
Wako watatu basi au sioHao watu mia hamsini na mbili, ndio mamia? Mtaacha lini uongo na uzushi?
Imagine hapo wote wameenda Kwa kujitolea hawapewi hata mia ya sabuni. Hii inaitwa no reforms no electionDodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba 'CCM ni wauaji'.
View attachment 3361168
Walisema wana break kwa ajili ya kufanya tathiminiNimeimis Chauma, leo wapo mkoa gani?
Hiki ndicho kilichotokea kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ambapo vijana wanasindikiza msafara wa Heche kwa wingi huku wakiimba: "CCM wauaji."