PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lini hiyo na Sehemu Gani Dodoma?
 
Hakuna wauaji nchi hii kama CCM. Uzuri vijana wa Dodoma wanashinda na wana CCM kwenye pubs na bar kila siku hivyo wanawasikiaga wanavyoongea.

Huu ujumbe unatakiwa usambazwe kwa wivu mkubwa sana.
 
Baada ya uchaguzi chadema itakuja na kaulimbiu gani nyingine,,,hii ya NRNE itakua imepitwa na wakati.
 
Tanzania chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA.

Nimeangalia futuhi ya CHAUMA Mwanza nikabubujikwa na machozi mengi
Hatimaye amepatikana mtu mwingne wa kububujikwa na machozi baada ya Lucas Mwashambwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…