PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nakwakumbusha CCM hawajaanza Kampeni kwa Umoja wao mtakuja hapa kukataana
 

Kesho watamkamata Heche.
 
Naona nafsi inakuuma
Dogo haya mnayoyafanya ni "peanut". Mnajifurahisha tu, lakini mwisho wa siku, CCM na Serikali yake will remain unshaken. Tutoto tudogo kama ninyi mnajifurahisha mitandaoni na majina ya bandia tu.
Mtakuwa kama Gen Z wa Kenya. Walibadilisha nini zaidi ya wao zaidi 80 "kupotea"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…